Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

katto14

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
226
Reaction score
62
Wasifu wangu
Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nko dar,

Sifa za mchumba wa kike
Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.

Njoo PM mchumba tuyajenge
 
Napenda wakuulize, mshahara wako una digit ngapi?, una nyumba?, Dar foleni na joto; je una kausafiri hata kale ka 7mil tu?. Wewe ni mtoto wa ngapi ktk familia yenu?, ukoo wenu ukoje kwa idadi?..............Nakutania ndg yangu, watakuja tu!...
 
humu madada wengi matapeli tena waongo hawako seriouc bora ufute hilo bandiko lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom