moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Wandugu habarini za kazi.
Niende kwenye mada
Mimi nimeolewa hivi karibuni kama wengi wenu mnavyojua lakini tatizo ni kwamba mume wangu ana michupuko mingi sana.
Wiki mbili zilizopita nilimfuma akiwa na mwanamke kwenye gari nilipouliza akanijibu ni mfanyakazi mwenzie haikuishia hapo , siku mbili baadae nikamkuta bar na rafiki yangu nilipowakuta walishtuka sana lakini sikuwauliza kitu, juzi tena nilimkuta akitokea chumbani kwa house girl huku akimalizia kufunga mkanda wa suruali nilipomuuliza hakunijibu kitu,
nikambana house girl akaniambia alikuwa anamtaka akamkatalia lakini yeye akamng'ang'ania mpaka akatishia kumsema kwangu ndipo alipo muacha.
Nikaona niweke mtego kwa kucheza deal na house amkubalie ilinimfumanie, tukafanikiwa kweli nikawakuta katika kupurukushani za maandalizi ya Kudo,nilichofanya nikuwahi nguo zake na kutoka nazo sebuleni.
Nilichoamua ni kuachana nae kabisa, ndiyo sina haja nae tena , naomba jf wote mfahamu hilo, nipo huru.
Na sina haja ya kuolewa tena.
Nawasilisha.