Nilisumbuliwa sana na majini mahaba, sasa nimepona

Hapo uliposema "umekutana na mtaalamu na kukuondolea tatizo"
Ndio dhumuni la hii thread najua PM zitakuwa za kutosha
 
haaa! mkuu umenifumbua macho
 
Pole sana mkuu! Mie zamani nilikua natamani kua nayo ila baada ya kusikia watu wanavyoteseka nikayachukia saana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom