Kupenda hakuna muda (Love is time less)

tinno criss

Senior Member
Jul 3, 2015
112
56
We usemaye mi nitapenda muda fulani haupo sahihi, kupenda huja kutokana na mwelekeo wa maisha yako at anytime, ukipenda kwa mipango fulani basi we umependa kwasababu zisizo za kimapenzi, na upendo au mahusiano yako yako hatarini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom