Baadhi ya vitu ambavyo vikimtokea Mwanamke hatajali chochote

Baadhi ya vitu ambavyo vikimtokea Mwanamke hatajali chochote

TaiJike

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
1,482
Reaction score
669
1. Akiwa mpweke - akiwa na kiu ya kuliwazwa kwenye upweke wake haangalii huyu ni mume wa mtu, mchumba wa mtu, mzazi wa mtu. Yeye anachotaka upweke wake uishe

2. Akiwa desparate (mwenye kiu ya kuolewa) - mwanamke akiwa kwenye hali hii, basi mwanaume yoyote kwake ni potential husband, awe mume wa mtu au la, akifikia hapa hajali mambo ya kupima afya, mambo ya dini au imani, vigezo na masharti vyote vinafukiwa ardhini.

3. Akiwa na kiu ya mtoto - Hapa hajaliwi mtu inajaliwa mbegu tu. Kila akiona mwanaume anamwona kama baba mtoto wake, hapa haliangaliwi penzi tena bali mbegu za mtoto. Hapa hata kama ana imani ya kuhamisha milima atakuwa tayari kwenda kwa mganga pale anapoona maombi hayafanyikazi. Mtoto atatafutwa come what may, come sun come rain.

Ujumbe: Hali yako na mapito yako yasikufanye ushushe standards zako. Ndio maana taji hata sikumoja haitolewi mwanzoni bali mwishoni.

copy & paste.
 
Ukweli mchungu hasa hapo mwanamke akifikisha 30's na anataka mtoto atazaa hata na yule mbeba mkokoteni au mzibua vyoo/mitaro ambae mwanzo alikuwa anaona kinyaa hata kumuangalia..ila wanawake wapweke huwa wananoga sana mana huwa wanatoa yote kwa kumkomoa yule aliyemtenda ama kwa kumkumbuka zilipendwa wake.
 
Ni Mkuu ogopa kitu kuta tamaa.
 
Akiwa na shida inayohitaji msaada papuchi ndio silaha yake ya mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom