Kwa wanawake na wakinadada (women's &girls)

Kwa wanawake na wakinadada (women's &girls)

xaidjr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
392
Reaction score
468
Je unaweza kumwambia mumeo ama mpenzi wako kama hujaridhika kimapenzi akakata kiu yako ya mapenzi wakati mkiwa katika tendo?
 
Maongezi ndio kila kitu katika mapenzi....
 
Je unaweza kumwambia mumeo ama mpenzi wako kama hujaridhika kimapenzi aka kata kiu yako ya mapenzi wakati mkiwa katika tendo?
X@ awasemi hao ila ukijipendekeza kumulza majibu yao ni ndio. Ngoja wakutana kule kibarazani waki wao kwa wao ni shida sasa huwa nashindwa kuelewa kwenye hivo vibaraza ndo kuna vina sulhisho la matatizo yao ???,
 
Aibu au ni nin?
 
Kwakweli mm mme wangu mm wala simfichi sijaridhika namwambia sasa nyie mnaogopa mtakua mnaishi na madictator mume mfanye zaidi ya rafiki
 
Nimeshaambiwa saana. Ila katikati sio mwishoni aniambie leo sijaridhika [emoji31][emoji31]
 
I Let All My Bitches Tell Me When To Offload.
Thats What A Real Man Does.
You Dont Just Offload Out Of Nowhere.
She Has To Beg For It.
 
Back
Top Bottom