Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,884
Kuna rafiki yangu yule niliesema aliniachia mtoto akaenda kwa mchepuko kama mnakumbuka, ni mama wa nyumbani ila ana maisha amaizing sana maana hafanyi kazi yoyote ila cha ajabu hata boxer za mume anafua mdada wa kazi yeye huwa havai chupi kama mimi kwahiyo zake hazipo kwenye hesabu.
Hapa nauliza ni sawa jamani hawa wadada wa kazi kufua nguo za ndani za wababa? Na wababa kama unajua mkeo sio mfuaji si bora ufue mwenyewe tu jamani au mimi ni mshamba?
Hapa nauliza ni sawa jamani hawa wadada wa kazi kufua nguo za ndani za wababa? Na wababa kama unajua mkeo sio mfuaji si bora ufue mwenyewe tu jamani au mimi ni mshamba?