ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,707
Thamani ya uwanaume imeongezeka sana siku hizi. Moja ya sababu ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanawake ambao walioachika, lakini sababu ya pili ni kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanawake mitaani. Sababu hizo mbili zimepandisha thamani ya mwanaume.
Kama unazijua sababu nyingine ongeza.
Kama unazijua sababu nyingine ongeza.