mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Nikiona mitongozo ya siku hizi ilivyo rahisi naumia sana..!nakumbuka mi ilinichukua mwezi mzima just kumwambia demu nakupenda, ilikuwa kila nikimpanga basi tukifika eneo la mtongozo neno nakupenda linaishia kooni tu nashindwa kulitamka..siku nliyolitamka nlihisi nmetua mzigo mkubwa sana...vp ww ilikuaje siku ya kwanza kutongoza???