Wazuri Wanatesa Sana

Wazuri Wanatesa Sana

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Watu wazuri wanatesa nyie...Wanaringa...
Kwa sababu wanajua hata akikupoteza wewe leo kesho
anakamata Danga jipyaaa na ngoma inasonga...Ila
hawa wenye sura chachu wana heshima maana
wanajua kikinuka, mpaka afanye Scrub Miezi 6 ndo
anaambiwa I love you too 2...
 
Ndio nini Sasa? Akiringa NDIO hafi au anajisaidia biscuit?
 
Wanakutesa wwe tu mbona sisi tunao hao watoto miaka kibao na hawatutesi
 
Mkuu ulikuwa uanaanza na post hii af baada ya siku 4 unarudi na nyingine unasema una madem 2, mmoja mzuri ila anaringa kweli af mwingine ni ana sura ya kawaida ila anakupenda kweli,,, nombeni ushauri yupi wa kuoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaah,,,, Hayo mapovu yake sasa
 
Watu wazuri wanatesa nyie...Wanaringa...
Kwa sababu wanajua hata akikupoteza wewe leo kesho
anakamata Danga jipyaaa na ngoma inasonga...Ila
hawa wenye sura chachu wana heshima maana
wanajua kikinuka, mpaka afanye Scrub Miezi 6 ndo
anaambiwa I love you too 2...
Hayo zamani kaka.

Siku hizi hata kajambanani nao wakishaona Kadashians kwenye Insta ya stress free nao wanataka kuiga mapozi. Eti wanasema hakuna mbaya, uzuri upo kwenye jicho la mtazamaji, ndiyo maana King Kong alipata binti mzuri tu

kingkong.jpg

Siku hizi kimtandao mtandao uzuri unanunuliwa hata kama mwanamke ana sura kama ya Oprah Winfrey akiwa na uhakika wa kuwa na hela kujitengeneza naye anaringa.

Na wengine hata bila ya uhakika wanaringia walichonacho.
 
Tatizo ikishatumika sana hata awe mzuri vipi.......hainogi.
 
Wanakutesa wwe tu mbona sisi tunao hao watoto miaka kibao na hawatutesi
Uzuri wa kitu upo machoni pa mtu,
huenda wewe unawaona wazuri kwangu wakawa ovyo
 
Raha ya mwanamke aringe ,demu asiyeringa mimi hanivutii
 
Hayo zamani kaka.

Siku hizi hata kajambanani nao wakishaona Kadashians kwenye Insta ya stress free nao wanataka kuiga mapozi. Eti wanasema hakuna mbaya, uzuri upo kwenye jicho la mtazamaji, ndiyo maana King Kong alipata binti mzuri tu

View attachment 389988

Siku hizi kimtandao mtandao uzuri unanunuliwa hata kama mwanamke ana sura kama ya Oprah Winfrey akiwa na uhakika wa kuwa na hela kujitengeneza naye anaringa.

Na wengine hata bila ya uhakika wanaringia walichonacho.
Hizi Camera360 zinavyowadanganya ndo zinawatia uchizi,
Demu anaweza kudondosha wallet/purse ukashindwa kumshtua cuz anaeza akakuaibisha kabla hata hajaskiza alichoitiwa
 
Back
Top Bottom