STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,264
Mwanaume wa ukweli hategwi na Shape wala lips, anategwa na real love na appreciation even for little things. Mwanamke wa maana hategwi na zawadi, ice cream, jeans mpya, wala vipedo, au lifti ya gari yenye rim kali, anategwa na real man mwenye akili iliyopevuka na moyo wa kifamilia na upendo wa kweli.
Kama akili yako ni fupi kama utumbo wa funza endelea kuwaza kimwili na kupoteza hela zako na advataiz za kupeleka firigisi kila siku,lakini kama nia yako ni kuwa na good family think outside the box. Mwanamke akikupenda hata ukiwa na bodaboda yeye anaona unamiliki Hammer...