tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Watu wengi tunapenda tufanyiwe vitu Fulani ambavyo hata siye wenyewe tungelikua na uwezo tusingeliweza kuwa fanyia hao tunao Waomba watufanyie, Tunaomba na kulaumu kwanini hatupewi Vitu ambavyo laiti kama tungelikuanavyo sisi tusingeliweza kutoa, ili penzi lako au lenu lidumu tambua hilo kwanza, Kisha Uvumirivu Ni Ngao Na Kumsoma mwenzako ni Siraha, nawapenda nyote