zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
Heshima zenu wakuu,
Naombeni mnishauri.
Nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi, sijisikii kabisa kupenda ninaweza nikaingia katika mahusiano haitachukua muda upendo utapotea ghafla nitajikuta namchukia yule msichana niliye naye, ni miaka miwili sasa nina hilo tatizo, nifanyeje niondokane na hilo ukizingatia umri unakwenda nahitaji kuoa niwe na familia?
I wish if I could get someone to pray for me labda naweza kubadilika