Tumebaki wachache sana, akina dada hamjajiuliza kuna nini?

Sodoku Myebusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,313
Reaction score
3,001
Kila nikitizamana kwa kweli nasikitika sana, miaka ya nyuma hali haikuwa hivi. Unamkuta dada mzuri kabisa mzuri kweli kweli hajaolewa na yupo so desperate. kiasi kwamba yaani wanaume ndo wanatumia gear hiyo kumchambua kila wanapomtaka, huyu dada aliyenifanya niandike ni mfanyakazi mwenzangu yupo hapa sasa kama miezi minne. Ni mzuri, mcheshi ana mvuto n.k lakini hajaolewa na sasa ana miaka 30. Si kwamba hapendi, anapenda hajaolewa.Sasa hapo najiuliza kwanini hajaolewa.

Vijana wengi kwa sasa ukiwagusia suala la kuoa wanaruka kimanga, hawataki kusikia, wanataka waendelee ku "hit and run" kwanini? Hili nalo najiuliza sana na ninakuwa na maswali mengi sana. unakuta kijana ana 35 bado anakamua tu ameng'ang'ana na kula ujana tu mpaka anaelekea kumalizia na kuingia uzee hataki kuoa, uwezo anao, sababu anazo ila nia hana.

Akina dada ni nini kilichotokea hata mnawakatisha tamaa wanaume kuwaoa? Kuna nini kimetokea kinachowafanywa watu wawe wazito kuoa kiasi hiki? Kuna wadada wengi ambao ashakum si matusi wanaitwa "loose ball" au "free kick" hawa wamekuwa tatizo hapa mjini ni mzuri ana hata uwezo lakini hapati mume. Watu wanakuja wanapiga free kick ikiingia golini wanaambua mtoto au ikitoka nje maisha yanasonga mbele, tubadilike jamani.

Tukae mkao wa wife material, ukitizama kushoto na kulia unakuta wadada wazuri lakini wengine bado wamekaa mkao wakuchuchumaa yaani kama vile wapo 'standby' kutaka kunyanyuka kila wakati na hujui kama anaelekea kukaa chini au anataka kusimama.

Basi kwa hili tuzidi kuombeana sana.
 
wadada tena! sawa wamekusikia wanajipanga wanakuja!....ila nkuulize swali! km wakaka hamtak kuoa unategemea huyo dada wa miaka 30 aolewe na nan sasa?! .....
 
tumekuwa warahisi sana kulala na wanaume pasipo kuolewa..
kwa tamaa zetu binafsi..
na wanaume wanaona kwanini nile maharage tu wakati nna uwezo wa kula mboga saba

pesa yangu tu...
hapo ndipo tunaposhindwana
Siku hizi mmekuwa kama maharage ya mbeya,yaani maji kidogo tu(hela) tayari mmeiva(chupi inateremka)!!......Kwa kweli sisi wanaume siku hizi tunaenjoy sana hii style/mfumo![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Siku hizi mmekuwa kama maharage ya mbeya,yaani maji kidogo tu(hela) tayari mnaiva(chupi inateremka)!!......Kwa kweli sisi wanaume tunaenjoy sana hii style/mfumo![emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu watakua wanaoana uzeeni ili mtafute pa kufia
 
tumekuwa warahisi sana kulala na wanaume pasipo kuolewa..
kwa tamaa zetu binafsi..
na wanaume wanaona kwanini nile maharage tu wakati nna uwezo wa kula mboga saba

pesa yangu tu...
hapo ndipo tunaposhindwana

Exactly Ora!!

Ulichokiandika ni sahihi kwa zaidi ya asilimia 85.Hakuna mwanaume anayependa kuwa na mwanamke mrahisi,Wanawake wengi mnajirahisisha sana hivyo kuwapelekea wanaume kutodumu nanyi katika Mapenzi.

Wengi wenu (Siyo wote) mnapenda "slope" sana,Unatongozwa saa sita mchana then after jioni umeshalala na huyo mwanaume,Hakuna mwanaume anayependa/Atakayekuoa labda baadhi ya wanaume wenye upeo mdogo ila siyo mimi.

Mnavyoji-condition,Kuanzia Mavazi,Mnavyojichubua,Mnavyo-faking reality nk nazo zinaweza kuwa sababu tosha za ninyi kutokuolewa mapema.Sababu nyingine ni kupenda kupokea zaidi kuliko kutoa,Baadhi yenu mnapenda fedha sana kuliko utu!

Mwanamke uko fake,kuanzia ngozi,kucha,nywele,tembea yako,umbo lako nk.Ukiwa wa hivi kuolewa mapema ni tatizo kwakuwa hakuna mwanaume anayetaka kisicho halisi,Tutaishia kuwaoa wanawake wa vijijini wenye ngozi natural,Nywele,Kucha,Maumbo,Heshima ya mavazi,tabia nk huku wa mijini mkiendelea kusugua gaga.

Wenye tabia hizi mziache,Sisi hatuna shida (Wanaume) ila tatizo ni ninyi.
 
sisi ndo tunawapa ugumu wa kutuoa[emoji41]
 
Mkuu una wake wangapi?
 
hili nalo neno my dear. unachosema ni kweli. wadada wa miaka hi ni warahisi sana....yaani sana. mpaka wanaume wenyewe tunashangaa hasa sisi wa zamani tuliokuwa tumezoea kuzungushwa. yaani sasa hivi inakuwa rahisi mpaka tunaogopa tena.

tumekuwa warahisi sana kulala na wanaume pasipo kuolewa..
kwa tamaa zetu binafsi..
na wanaume wanaona kwanini nile maharage tu wakati nna uwezo wa kula mboga saba

pesa yangu tu...
hapo ndipo tunaposhindwana
 
wao wanatufanya tusitake kuoa. wamekuwa warahisi sana.... yaani unawaza kwa urahisi huu alionipa mimi wenzangu amepita wangapi?

wadada tena! sawa wamekusikia wanajipanga wanakuja!....ila nkuulize swali! km wakaka hamtak kuoa unategemea huyo dada wa miaka 30 aolewe na nan sasa?! .....
 
wat tunaamua tu kuwa wavulana maana nanyi mnakuwa wasichana..sasa utajifanyaje mwanaume wakati galfriend wako msichana...basi mnaenda tu hivyo hivyo ki mjin mjini akitokea mwanamke unamwoa.

Are u ready na huu mtanange?Umejipanga kisawasawa?
Turudi kwenye mada sasa hivi wavulana ndio wengi wanaume wameisha.Nitarudi baadae kwa ufafanuzi zaidi
 
Back
Top Bottom