kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
Chukua viazi mviringo, menya, katakata vipande vidogovidogo, chukua mafuta halisi ya alizeti then kaanga kwenye mafuta yaliyopata moto vya kutosha. chukua mayai ya kuku wa kienyeji tengeneza zege kula kwa amani. Sio kila chipsi yai inapunguza ufanisi katika mapenzi ni namna inavyoandaliwa tu.