asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 147
Kuweka siri kwenye mitandao ya kijamii ni sawa na kuvua nguo katikati ya soko mchana halafu unafumba macho ukiamini watu hawakuoni.
Acheni kuweka SIRI za ndani kwenu mtandaoni maana mitandao ni mali ya umma si ya familia.
Acheni kuweka SIRI za ndani kwenu mtandaoni maana mitandao ni mali ya umma si ya familia.