Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wameumbwa tofauti kabisa na sisi wanaume. Wao mioyo yao ni migumu yenye kuhimili majuto na shida ya mapenzi. Ndio maana mwanamke hata atendewe vipi kujiua kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wana jamvi, Kwanza kabisa naomba kutoa angalizo kuwa utafiti huu nilioufanya kwa takribani miezi miwili ilopita ni utafiti huru na usichukuliwe kwa mlengo wowote huo; dhamira ya...
4 Reactions
75 Replies
10K Views
Tumsifu yesu kristo wapendwa?naomba kujibiwa hako kaswali kangu hapo juu,maana kwa uchunguzi wangu nimegundua wanawake wengi warembo wanashobokea sana njemba zinazofanya kazi bank,mwanzo nilidhani...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Niaje guys? Hope ur good. Kuna cousin wangu ambae ni mtoto wa shangazi yangu, nimelelewa, kusoma na kukua kwao, nilienda hapo nikiwa std two baada ya baba kufariki, wazazi hawakua na ndoa...
18 Reactions
525 Replies
74K Views
Habarini wadau, Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo jamii yake inaishi katika hali ya ujamaa sana, nikawaida kukuta fulani amepata mafanikio labda alisaidiwa pesa ya kiatu cha shule na, mjomba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna wakati unatamani kusingekuwa na mapenzi duniani. Unampenda mtu kwa moyo wote anaishia kukupa maumivu. Kuna wakati unatendwa hadi unatamani kuua lakini unaishia kulia. Usivunjike moyo...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Nikisafisha meno hata kwa toothpick na kutoa uchafu huwa na harufu mbaya hasa kwa mabaki ya vyakula kama nyama ,samaki na vinginevyo. Huwa napata shida kuwaza, wale wanyonyana ndimi huwa...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wana JF, Uvaaji wa shanga kwa kina dada /mama nikitu ambacho bifasi sikielewi mantiki yake, nakufanya pia nipate maswali mengi juu ya uvaaji wao wa shanga, Na katika maswali ambayo...
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Tanzania ukiongea English wanaona umesoma, Tanzania ukiendesha gari msichana wanaona una pesa hata kama ni la kuazima wanaona una pesa, kiukweli ukiwa na gari kung'oa msichana ni rahisi sana tena...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
*Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao* Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki. Hua...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Tafadhali heshima izingatiwe kwa anaye comment so kama huwezi ku comment pita kwa heshima.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu wana JF, Naombeni ushauri wenu kwa hili linalonikumba, Mimi ni kijana /mwanaume nina mchumba kwa mda wa miaka 3 sasa lakini huyo mchumba wangu simwelewi, kwanza ana...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimeamua kuuliza hili swali hapo juu. Ni kipindi sasa nimekuwa nikisikia wanaume wenzangu wakisema kwamba "Nikishachukua namba tu mimi tayari nimemaliza shughuli" Hapa wakiwa na maana kwamba...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu! Nimewaita huku ilituzungumze machache yanayowahusu, Hivi kwann mntufanya sisi kama vitendea kazi vyenu? Nimejaribu kufuatilia michango yenu ktk threads mbalimbali nimegundua...
13 Reactions
151 Replies
13K Views
Wakuu salaam Sijawahi post kitu katika jukwaa hili hii ni mara yangu ya kwanza penye wengi hapakosi kitu. Wakuu kisa changu ni hiki. Katika pita pita zangu nilikutana na binti flani ambaye sikuwa...
2 Reactions
125 Replies
10K Views
Natafuta mke awe mwalimu nurse au mjasiriamali, mimi naishi Dar lakini kwa sasa nipo Kampala kikazi. Mimi ni mechanics umri miaka 20_25.
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Wafanye kazi Part Time! to create better family homes lol Wanawake wakifanya kazi part time,wataweza kucreate balance majukumu ya nyumbani na kazini,eventually avoiding dysfunctional families...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nimewahi kulazimisha kuwa na mahusiano na msichana fulani ila sio kama nilimpenda ila ni genye zangu. Baada ya kumaliza haja zangu nilimtupilia mbali na yeye akasonga mbele. Saivi sisi ni...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom