Nifanyeje ili nisimpoteze nimpendae?

Nifanyeje ili nisimpoteze nimpendae?

tinno criss

Senior Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
112
Reaction score
56
Mi nilikua nampenda sana msichana anaitwa Given alikua yupo mbali sana katika mwitiko wake, baadae nika kata tamaa ya kumfuatilia, nikaanza kwa msichana mwingine anaitwa Bestina, wakati mambo yana anza kwenda vizuri kwa Bestina, Given akaanza kua karibu nami.

MKASA UPO HAPA SASA, sio siri Given mi ndo nampenda sana, sasa leo wakati na chat nae nikasahau nimeandika "nakupenda sana mpenzi wangu Bestina" kwenye SMS inayoenda kwa Given, na mimi sii mhuni, nilikua na Bestina kwasabu ye Given kuna muda alikua ananizingua.

Na nilisahau mpaka kuandika jina la Bestina kwenye SMS ya Given kwa sababu jina la Bestina lilinika sana kinywani mwangu katika wakati ambapo Given alikua anazingua, naomba mnisaidie katika hili, so nifenyenini ili nisimpoteze Given?
 
Back
Top Bottom