nimebakwa juzi

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
huyu dada nafanya nae ofisini.
huwa tunamazoea ya kupiga story mbili tatu wkat wa kazi na ni ya kawaida na hajawahi kunionyesha hisia zozote za mapenzi.

hajaolewa,ni mtu wa makamo around 40yrs..ana mtoto mmoja..akanialika kwake nikamtembelea niu yia..jioni ivi!

basi stor za hp na pale zikaendelea hasa hasa tulikua tunawazungumzia wafanyakaz wenzetu.......kilaji kilikua biere na yeye bapa!!

mara while on the way akanirukia kwenye sofa na kuniambia leo ni leo lzm nimsaidie amevumilia sana...!!huku akiendelea na mahaba ya ajabu nikapagawa..!!akili ikahama...nikashindwa kufurukuta jinsi nlivyokua nimebananishwa!!.........within a second alikua tyr yupo mtupu...........nashkuru alinivalisha dawa ya pendhi!

je naweza kumchukulia hatua za kisheria?.........naomba wataalam wa sheria wanipe muongozo hili limekaaje!!....nipo sirias wadau
 
Mkuu hapo umebakwa vipi ? Mpaka unavalishwa dawa maana yake uliadapt mazingira ya hako kamchezo pia utayari wako wa kuvalishwa dawa hatimaye kujitupa ktk uzinzi haionyeshi dalili za kubakwa, ni mapenzi yako mwenyewe, maana haukuattempt kuresist hilo zoezi ...:A S embarassed:

Waweza kuwaona wataalam wa sheria kama kweli umedhamiria ingawa sioni kama kuna dalili za kumuweka hatiani mtuhumiwa wako.
Nakushauri potezea, na kama umempenda na hana mtu na wewe pia huna mtu unaweza kuendelea naye tu ....
 
acha hayo maneno faza..mwanume ukabanwa mpaka ukabanika! Au alikupiga sindano ya usingiz! We sema ulijilia vyako..kwa ngekewa!!!
 
Ulipiga goli ngapi?ubakaji huo ulikuwa mtamu sana nimeutamani.kwa hiyo mzed ulipigwa gwala sio?
 
.........lol...........lol.........lol.......... Dah!

Out of curiosity hivi yule mdogo wenu si mpaka aoneshe ushirikiano ndo aweza hail?
 
Bure aghali, ulidhani zile bia wanyeshwa yamekuwa maziwa yale
Alikuwa analisha ng'ombe wake ili apate maziwa ya kumkamua

He he he, ushaongeza idadi tena
Kama walikuwa 76 wamekuwa 77
Duh! bora unaongeza mifugo wako
Umeanza mwaka vizuriiii
 
Mweh we mwenyewe ulisha mfia siku nyingi sema tu domo zege ulishindwa kumwambia na yeye aliishajua udhaifu wako kaamua kukusaidia patamu hapo.

Tumia vizuri majina ya watu,by the way uthibitisho utakuwa mgumu juu ya tukio lenyewe pia inaonesha ulipendezewa na kitendo hicho mpaka unavishwa dawa ya penzi unaangalia tu.
 
.........lol...........lol.........lol.......... Dah!

Out of curiosity hivi yule mdogo wenu si mpaka aoneshe ushirikiano ndo aweza hail?

Acha kumshusha.
Yule ndio mkubwa na sie wadogo wake.
OTIS
 
Back
Top Bottom