Utafiti: Wanachozungumza wanapokutana wanaume wanne Vs wanapokutana wanawake wanne

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Utafiti ni kutoka kwenye gazeti la Mwananchi
Wanapokutana wanaume wanne huzungumzia mpira na wanapokutana wanawake wanne huzungumzia wanaume

Sijui huu utafiti una ukweli kiasi gani.
1475834291885.jpg
 
Huo utafiti utakua umefanyika siku ya jumamosi na ikawa siku ya meschi ya simba na yanga au man na stock. Mimi sehemu kubwa ya watu naokutana nao kila siku au mara zote baada ya kazi hua tunazungumzia nyapu na mikia. hata ofisisni tukienda lunch au break yoyote mazungumzo yetu hua ni kuhusu k.

Hao watafiti waangalie aina ya watu wanaokutana nao kabla ya kutoa matokeo ya utafiti wao. Huo hauna tofauti na twaweza wanaofanyia utafiti lumumba kisha wanasema watanzania. Ufanye utafiti ba siku ya mpria unategemea nini.
 
Huo utafiti utakua umefanyika siku ya jumamosi na ikawa siku ya meschi ya simba na yanga au man na stock. Mimi sehemu kubwa ya watu naokutana nao kila siku au mara zote baada ya kazi hua tunazungumzia nyapu na mikia. hata ofisisni tukienda lunch au break yoyote mazungumzo yetu hua ni kuhusu k...
Hakika bro
 
Back
Top Bottom