Umuhimu wa kuoana kuliko kuwa wapenzi

Umuhimu wa kuoana kuliko kuwa wapenzi

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,744
Kama mada hapo juu,

Kuna kitu nimefikiri sana kuhusu kuwa wapenzi kuna faida gani hasa za kimaendeleo ukilinganisha na mtu aliyeoa mtu ambaye ni mpenzi sio rahisi kukuambia honey unaonaje kama tukijuana tuanze ujenzi, au kwa kipato chako jitahidi hata ununue uwanja wako kama akiba.

Ila anaweza kukushawishi kwa kujuwa au bila kujuwa wewe na mkamjengea nyumba ambayo wewe huna haki nayo hata kidogo, wapenzi mawazo wengi wanayo waza ni mtoko na starehe, wapo watakao sema wapo wanawake ambayo hawaombi hela ila ukweli ni kwamba kila mkitoka mtoko lazima utachomoka tu pesa lakini wanandoa Mara nyigi kabla ya mtoko mnafikiria kwanza na sio kipa umbele sana zaidi ya ujenzi wa maendeleo na kuona kama bajeti inaruhusu.

Wapenzi hasa wanawake huwezi kuwa huru kutoa ushauri wa kujenga sana kwani haujiamini kama utakuja kunufaika wewe hivyo unachofanya ni kula chako mapema na Siku kikinuka hauna cha kujutia (ingawa kama unawida huwa na mawazo mazuri lakini huwezi kutekeleza kama uko nje ya ndoa)

Lakini kwenye ndoa mwanamke unakuwa na ujasiri wa kusimamia mawazo yako kwa nguvu endapo kama unaona yanaleta maana kwa sasa na baadaye, mfano ujenzi wa nyumba kwa wapenzi hata kama utasomeshana lakini suala la kuachana ni kugusa tu hasa pale mmoja anapokuwa amemaliza masomo yake na hauna pa kushtaki na unakuta hujampa hata mtoto wako ambaye hata kama mkuachana atakusaidia kulea.

Lakini mkiwa kwenye ndoa hata mkiamua kusomishana na baadaye mmoja akabadilika na tayari mna watoto anaweza kusaidia watoto ambapo hiyo inakuwa ni faida ya elimu uliyompa na ukiamua kumshtaki unaweza sikilizwa na sio kuchekwa na kuambiwa mchumba asomeshwi.

Kwa wapenzi hata ukimsomeshea au kumsadia kulipa ada ya ndugu yake, ndugu huyo hawezi kukutambua kwa lolote ila kwa wanandoa ukiamua kusomesha upande wa pili hata kama uliyemsomesha hatarudisha fadhila lakini atatambua mchango wako na familia itakutambua kwa wanandoa hata kama kipato ni kidogo lakini bado mnaweza kuweka malengo na yakaenda lakini wapenzi kile kidogo bado utashawishiwa kukitumbua kiishe kabisa zipo nyigi unaweza ongezea na wewe ndio maana nasema hivi bora nioe.
 
Kuwa na maendeleo ni uamuzi wako wewe mwenyewe uwe ndani ya ndoa au la. Huwezi kuingia ndani ya ndoa kwa sababu ya kuogopa matumizi na wachumba, ukifanya hivyo utakuwa umepotea. ingia ndani ya ndoa ukiwa na utayari wa kukabiliana na changamoto za ndoa. Ukiona huziwezi ni bora usioe kama Bra-joe.
 
lakini kama una mke mwenye nyota unaweza kuwa mbali zaidi....
 
Kama mada hapo juu,

Kuna kitu nimefikiri sana kuhusu kuwa wapenzi kuna faida gani hasa za kimaendeleo ukilinganisha na mtu aliyeoa mtu ambaye ni mpenzi sio rahisi kukuambia honey unaonaje kama tukijuana tuanze ujenzi, au kwa kipato chako jitahidi hata ununue uwanja wako kama akiba.

Ila anaweza kukushawishi kwa kujuwa au bila kujuwa wewe na mkamjengea nyumba ambayo wewe huna haki nayo hata kidogo, wapenzi mawazo wengi wanayo waza ni mtoko na starehe, wapo watakao sema wapo wanawake ambayo hawaombi hela ila ukweli ni kwamba kila mkitoka mtoko lazima utachomoka tu pesa lakini wanandoa Mara nyigi kabla ya mtoko mnafikiria kwanza na sio kipa umbele sana zaidi ya ujenzi wa maendeleo na kuona kama bajeti inaruhusu.

Wapenzi hasa wanawake huwezi kuwa huru kutoa ushauri wa kujenga sana kwani haujiamini kama utakuja kunufaika wewe hivyo unachofanya ni kula chako mapema na Siku kikinuka hauna cha kujutia (ingawa kama unawida huwa na mawazo mazuri lakini huwezi kutekeleza kama uko nje ya ndoa)

Lakini kwenye ndoa mwanamke unakuwa na ujasiri wa kusimamia mawazo yako kwa nguvu endapo kama unaona yanaleta maana kwa sasa na baadaye, mfano ujenzi wa nyumba kwa wapenzi hata kama utasomeshana lakini suala la kuachana ni kugusa tu hasa pale mmoja anapokuwa amemaliza masomo yake na hauna pa kushtaki na unakuta hujampa hata mtoto wako ambaye hata kama mkuachana atakusaidia kulea.

Lakini mkiwa kwenye ndoa hata mkiamua kusomishana na baadaye mmoja akabadilika na tayari mna watoto anaweza kusaidia watoto ambapo hiyo inakuwa ni faida ya elimu uliyompa na ukiamua kumshtaki unaweza sikilizwa na sio kuchekwa na kuambiwa mchumba asomeshwi.

Kwa wapenzi hata ukimsomeshea au kumsadia kulipa ada ya ndugu yake, ndugu huyo hawezi kukutambua kwa lolote ila kwa wanandoa ukiamua kusomesha upande wa pili hata kama uliyemsomesha hatarudisha fadhila lakini atatambua mchango wako na familia itakutambua kwa wanandoa hata kama kipato ni kidogo lakini bado mnaweza kuweka malengo na yakaenda lakini wapenzi kile kidogo bado utashawishiwa kukitumbua kiishe kabisa zipo nyigi unaweza ongezea na wewe ndio maana nasema hivi bora nioe.
Umuhimu wa kuoana uko pale pale lkn kuwa wapenz kabla ya ndoa nayo ina umuhimu wake!!
 
lakini kama una mke mwenye nyota unaweza kuwa mbali zaidi....
Hakuna cha mke mwenye nyota wala jua!Maendeleo sio ajali eti unajikuta kuwa umepata ajali ya maendeleo.Maendeleo ni mchakato,maendeleo yanaandaliwa,hata uwe na mwanamke mwny nyota km unavoamini ukibweteka maendeleo utayackia tu!
 
Kuwa na mpenzi ni vizuri kwasababu inapelekea wewe kumfahamu mtu unayetarajia kuishi naye kitabia.
Kuoa au kuolewa ni jinsi mtu alivyojiamulia kuishi mana kuna wengine hawataki ndoa kabisa.
Kuna baadhi ya watu wakishaoa akili zao zinapanuka tofauti wakiwa hawajaoa na kuna wengine wapo vizuri tu hata bila kuoa.
Mimi nadhani mkishakaa muda kama wapenzi mkaridhiana kinachofuata ni ndoa
 
Mi natafuta mke atakae kuwa na kwake na mi nko kwangu,......nahisi tutakuwa na mapenz mazuri sana,kuhusu maendeleo kla mtu atakuwa na yake,tutasaidiana ushauri
 
Back
Top Bottom