habari za usiku wakuu..!
kwa haraka haraka naomba tujaribu kuangalia njia bora za kushughulikia tabia au mwenendo wa mpenzi wako ambao haukuridhishi
1. onyesha unajua, lakini haujali mfano umegundua mpenzi wako ana banjuka na 'qqq' ukiwa safarini, siku nyingine wakati unaondoka muage hivi 'baby i'll back baada ya wiki 2, but mwambie qqq asinimalizie utamu wote' hatarudia tena,trust me..
2. sema dukuduku lako mkiwa katika mahaba manono..mfano: mnakumbatia mpenzi wako na unaanza kumpigisha story nzurinzuri..akishakolea unamwambia kinacho kukwaza "honey..ujue huwa naumia sana unapomchangamkiaga yule dada wa pale supermarket unaniacha pekeyangu..huwa najikaza tu" atakuomba msamaha na hatorudia..trust me
3.mwombe akuache pekeyako na asikusumbue..kaa mahali atakapoweza kukuona kirahisi, usilale wala usishikeshike simu..kuwa katika muonekano wa mawazo mengi..atakuomba mzungumze kipi hakipo sawa..trust me
if reactions are vice versa...washa taa nyekundu
smart cockroach