Niliwahi kuleta thread yangu humu ndani nikielezea juu ya maisha yangu na vitu ambavyo nilivifanya katika maisha yangu kwa kuwa maisha yangu ya nyuma yaligubikwa na dhambi na vitendo...
Habari zenu.
Kama nilivyo elezea hapo juu, wanawake mnao uza mwili ili kujipatia kipato, kwakweli mnajidhalilisha sana, kweli kabisa unalala na watu kadhaa ili kupata pesa.
unagawa kwa kila...
Kwa wakubwa tuu
wanawake mloolewa acheni kubana miguu asubuhi tupeni mambo, hii inatusaidia kuwa freshi siku nzima kazini bila mawazo ya naniliiio, mimi nikipiga asubuhi yaani mchepuko nitauwaza...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa wapo wanawake ambao huwa wanawahonga wanaume.
Kwangu haijawahi kutokea, kabisa mpaka sasa nina 30s.
Kwa sasa, nimeoa. Lakini kabla sijaoa nilikuwa katika...
Baada ya uchunguzi wa muda mrefu hatimaye nimeweza kugundua haka kamchezo ka members wa JamiiForums kutumia ID mpya pindi wanapotafuta wapenzi je sababu nini yakuja na ID mpya? Joined today na...
Nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye tunaishi kama miaka 10+ bila kuoana(UCHUMBA SUGU) tangia tuanze relationship. Kwao kuna mtoto wa kike wa marehemu kaka yao ambaye alizaliwa ujanani kisha...
Many of us have been through it… dating what we casually refer to as a “crazy” woman. If you live and date long enough, you might meet a woman who is emotionally or psychologically/emotionally...
Kuna mdada bwana ni mke wa mtu yule alieniachia mtoto akaenda kugegedwa. Nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia...
Nimekaa na kufikiri mke ninaye mzuri tu anajitumabkila idara ila tu sijui kwanini nachepuka na kote nilikochepuka sijaona utamu zaidi yabule niupatao ssa labda nyie wachepukaji wenzangu huwa...
Habari JF,
Kwa wajuzi wa mambo ya ndoa naomba kujuzwa kuhusu nguvu na uhalali wa ndoa ya mkeka, hapa nilipo leo nimefuatwa na mama wa binti ambaye huwa natoka naye kwa muda sasa na tukiwa...
Mara nyingi kwenye mahusiano wanawake wanakuwa na utayari wa kuingia kwenye ndoa lakini wanaume wanakuwa wagumu kutangaza nia au wanachelewesha.
Sababu kubwa ni kwasababu ndoa tukiiangalia kama...
Katika hali ya kutaka kuwa na ' Ndoa ' imara na ambazo zitakuja kuwa na ' Tija ' huku wakitaka ' kudhibiti ' Wanandoa wengi ' kusalitiana ' pindi wanapokuwa wameshafunga pingu za maisha baada ya...
Ni utafiti Ambao nimekuwa nikifanya mara nyingi ninapoongea na wanawake. kwa nia njema kabisa katika shughuli zangu za kila siku ambazo kwa asilimia kubwa nakutana na wanawake na tunaongea hasa...
Alamsiki,
Wee siwema wewee..... Mungu anakuona ujue hehehehe.... looh!!
Siwema usinipe mateso ya moyo Na sasa nimechoka kweli nasema Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema...
Wakuu, habari za Jumapili?
Wakuu, kiukweli nahisi kama nimeachiwa kalaana flani hivi na my x gals, ishu iko hivi kiukweli mimi sikuwahi kumpenda kwa dhati mwanamke yeyote katika maisha yangu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nahitaji mwanamke mwenye matatizo ya kizazi yaani ambaye hawezi kupata mtoto au amabye ana kizazi ila hatarajii...
Wakubwa zangu shikamooni!
Weraaaaaa weraaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Leo naomba tuujadili huu utatu wenye utata unaonipa shida sanaa mwenzenu kwenye suala zima la kukubali au kukataa proposal ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.