Twalyaninkomi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 265
- 260
Habari JF,
Kwa wajuzi wa mambo ya ndoa naomba kujuzwa kuhusu nguvu na uhalali wa ndoa ya mkeka, hapa nilipo leo nimefuatwa na mama wa binti ambaye huwa natoka naye kwa muda sasa na tukiwa tunapanga mipango ya badae tujetuoane kwani kipind hiki bado mambo sio mazuri na amekubali iwe hivyo.
Isue inakuja kwa mama yake ambaye amekua akisikia uvumi tu wa mimi kutoka na binti yake bila ya yeye kuthibitisha, ndipo leo kaamua kunitolea uvivu na kuniambia kwa vitisho kwamba siku akinikamata atanifungisha ndoa ya mkeka.
Wakuu hii imekaaje kwani sihitaji kuoa kwa sasa nifanyeje, na huyu binti ndio kipozeo changu sihitaji niachane nae ndoa za mikeka zinanguvu gani na uhalali kisheria?