buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Habari zenu.
Kama nilivyo elezea hapo juu, wanawake mnao uza mwili ili kujipatia kipato, kwakweli mnajidhalilisha sana, kweli kabisa unalala na watu kadhaa ili kupata pesa.
unagawa kwa kila mtu,kwakila kabila,kwa kila umri!!daah
Mnatia kinyaa dada zetu, maisha magumu lakini hivi hakuna kazi zingine za kufanya mpaka ukauze mwili?
Yawezekana ungetamani kuacha tabia hii ya umalaya, kama unaitaji kushauriwa jinsi ya kuacha hii tabia unaweza ukaja inbox pengine nitakushauri kama utashaurika.
acheni kuuza mwili huo ni ufuska, uchafu wa hali ya juu.