Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

  • Redirect
Raha sana kuongozana nao mtaani. Kila jicho linawageukieni nyie kiasi ambacho midume yenye uchu inasahau kabisa wajibu wao. Nikiwa nimetoka lunch mchana huu wa leo maeneo ya Posta mpya, magari...
7 Reactions
Replies
Views
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha, nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME. Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa...
1 Reactions
511 Replies
31K Views
Jamani, jana ilikuwaf ni hatari kidogo nikimbie pale nilipo lodge na mshina aliyenisumbua kwa muda mrefu sana ,tulipo fika chumbani hali yake niliona ikaanza kubadilika kama mtu mwenye mapepo...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Article written by a LIB reader, Ife. Enjoy. It all started on my way to Dubai where I was weighing 142kg. I will normally get an extra seat belt aboard the flight which for me is normal. Upon...
5 Reactions
64 Replies
11K Views
Wapenzi wa mmu, nimejaribu kufanya utafiki mdogo kuhusu mila na desturi za makabila mbali mbali kwenye suala la mapenzi na kufahamu kwamba kuna makabila ambayo hayana wivu wa mapenzi kabisa kama...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Ni kitu gani kitamu kushinda vyote, je asali, muwa, fenesi, apple ama mapenzi? Huu utamu wa mapenzi ukoje hasa, unaelezekaje? ni sawa kuulinganisha utamu huu na asali, sukari ama pipi? kama...
1 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari zenu wana mmu. Kuna jambo limekuwa linaniumiza kichwa sana, kuna rafiki yangu mmoja Tulikuwa naye chuo ruco miaka hiyo. Sasa hivi ameoa na anawatoto wawili, rafiki yangu huyu amekuwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hi MMU the home of GT, Nimejaribu kutafakari ni kwa jinsi gani wanaume tulivyofanya ubakaji kwa wanawake ktk hali ya kujijua tena tukiwa na akili timamu! Ni hivi, mwanaume akimwangalia mwanamke...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Maisha na upendo ni vitu viwili tofauti. Lakini, muda mwingine, mtu moja anafanya mahusiano yawe matamu kwa tabia yake na matendo yake ili hali mtu mwingine anafanya mahusiano ni shubiri. Mara...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Jamani wandugu naomba mnisaidie kwa hili. Kuna mkaka nilikutana naye ni mzuri wa sura mwili anamvuto. Katika harakati za kujuana ndo nimepata wasiwasi kuhusu yeye. 1.Hajawa na mahusiano na...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Hii kitu inanishangaza sana maana kabla sijaoa wadada walikuwa hawataki mazoea na mimi kabisa ila sasa tokea nioe tena ndoa yenyewe hata mwezi haujaisha kina dada wanaanza...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndoa ni jambo muhimu na takatifu sana katika maisha ya Mwanadamu. Umuhimu huu na Utakatifu huo unatokana na ukweli kwamba Ndoa ni Mpango MUNGU na hivyo Ndoa ni ya MUNGU. Ndio maana neno la MUNGU...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa familia ya Jf heshima iwe kwenu Ninachotaka kuwaelezeni hapa ni stori ndefu kuhusu maisha ya mama mmoja niliyekutana naye aitwaye MKENA BIHINYAGI anayewatafuta ndugu zake kwa muda...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo nikiwa katika harakati zangu za kutafuta ugali nikapita maeneo ya Osterbay shule ya msingi kujipatia chakula cha mchana.Nikiwa pale nikamuona mtoto mdogo wa kiume akiwa amevaa...
15 Reactions
47 Replies
4K Views
SOURCE: FACEBOOK
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jambo hili limekuwa maarufu sana na limechukua nafasi kubwa kwenye maisha ya watu. Ili kurekebisha na kupunguza na kukosoa jamii naomba tuweke sifa/tabia/ dalili/swaga za wana michepuko kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Audrey Mbugua leaving the Milimani law courts on March A transgender woman won a legal battle to have her new identity reflected on her examination certificates. Audrey Mbugua Ithibu, born...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya.
0 Reactions
69 Replies
5K Views
Sitasau pale nilipojikuta nimeoa mchawi mkubwa na mzoefu, mwanzoni nilijua ni utani pale mlinzi wa nyumbani kwangu alipomnasa, nikapuuzia japo aliniambia. Baadae alianza kutoa maneno ya...
0 Reactions
110 Replies
19K Views
Dada alikutwa chumbani kwake usiku wa kuamkia juzi akiwa amejidima kipande cha chupa ubavuni baada ya aliyekuwa mpenzi wake kumwambia yeye ni mchepuko. Jamaa kumbe alikuwa na mke na watoto...
3 Reactions
146 Replies
12K Views
Back
Top Bottom