Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Alamsiki,
Wee siwema wewee..... Mungu anakuona ujue hehehehe.... looh!!
Siwema usinipe mateso ya moyo Na sasa nimechoka kweli nasema Siwema usinipe mateso ya moyo
Na sasa nimechoka kweli nasema Nilidhani nimepata mpenzi wa kweli Nakumbe Nimepatikana na Mambo ya Ajabu Nia na madhumuni yako nimeshavitambua siwema kaka Siwema kaka, ah ah ah
Unajitapa mbele ya rafiki zako kwamba mimi sina la kusema mbele yako Umeniweka kwenye kiganja kakaa unalo taka ndilo ninalofanya sababu wewe Ni mzuri sana Siwezi kupata mwengine kama wewe Siwema kaka, siwema kaka, unajidang'anya
Wema wangu ndio ulioniponza Fadhila zote, kumbe kwako ni bure Malipo yake, kunifanya mjinga hayo yote, nimakosa yangu Lakini sasa nimejifunza kutokana na makosa Najiepusha nawe kakaaa aaah
Nimezunguka Tanzania bara Unguja na pemba nimefika Nimewaona vijana wenye sifa Wenye kujipamba waka pambika....
Nimezunguka Tanzania Bara Unguja na Pemba Nimefika Nimewaona Vijana wenye sifa wenye kujipamba waka pambika
Kwa hiyo Nielewe brother Sibabaishwi na sura napenda tabia njema Sibabaishwi na sura yako Usifikiri mimi rimbukeni sana
Nilikuheshimu kama kaka yangu Ukaniona ni mimi ....... ...
Tabia njema ndio silaha yako
Kila mtu atakupenda kaka......
Alamsiki tena.