Wanaume wengi ni 'sperm donors'

Wanaume wengi ni 'sperm donors'

Mi pia nimegundua wanawake wachache sana wanakubali umama . . .
Wengi sperms zinaishia 'toi'
Haahahaha joanah hahah umama sio mchezo lakini ...m nasemaga ukiamua kua mama sacrifice five years ya kua busy....wadada weng wa mujini wakifikiria hvyo mmh wanaamua wapeleke sperm toiii....
 
Back
Top Bottom