Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Wanawake wengi kinachowafanya mlalamike wanaume hatuna mapenzi bali tuna wachezea ni maswali na vitabia vyenu visivyo na kichwa wala mguu.(baadhi ya wanawake). 1. Unakuta una demu wako mzuri tu na...
10 Reactions
79 Replies
11K Views
Sina mawasiliano mazuri na my x na nibaada ya kuwa na ujauzito. Hapo nyuma tulikua na mawasiliano mpaka ujauzito ulipofika miez 7 ndo akanitamkia hanipendi tena.. kisa nimemuuliza kwa nini...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Habarini wana JF wenzangu. Mwenzenu yamenikuta leo, ile narudi home toka job nimepokewa na kilio kutoka kwa mke wangu kuuliza kulikoni mama ananijibu amechoka na maisha ya kukaa nyumbani, labda...
2 Reactions
125 Replies
10K Views
Wadau mimi ni mkristo tena Roman catholic, but linapokuja swala la ndoa huwa sikubaliani na hii kitu ya kufunga pingu za maisha yaani utakae muoa au kuolewa nae ndie awe daima na milele. Ngumu...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mke maana kwa kweli ni mengi sana na usipoangalia yanaweza...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
u demu wa mshikaji, toka mwanzo nilijua nikavulia nguo maji, mshikaji haja pata jua ukatimiza yangu mahitaji, nikakupa rozi ua kwa nini wanijaji, wakati u si juha? Siku ile nipokusogelea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Waliovunjiwa makazi Dar sasa wahofia kuvunjika kwa ndoa zao Furaha Kijingo na Rehema Rajabu WAKAZI wa Tabata Dampo waliobomolewa nyumba zao na Manispaa ya Ilala, wamesema ndoa zao zipo hatarini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni kitambo toka niibuke hapa jamvini, mara chache nimekuwa naingia kama guest hata id yangu imepotea nimelazimika kutengeneza mpya. Nimekuja vile nina jambo nataka kuitangazia dunia, "ninatembea...
3 Reactions
281 Replies
22K Views
Habari wana jamvi wa MMU. Ni takribani miaka 4 kamili iliyopita nilipovunja uhusiano na aliyekuwa girlfriend wangu na kukatisha mawasiliano nae. Sababu ya mimi kubrake up nae ni alikuwa si...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23 nina uhusiano na kijana mmoja hivi ambae ni mwanajeshi. Tangu tuanzishe uhusiano wetu hatujawahi kugombana ugomvi wa kutufanya tusiongee lakini mara ya...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Kwa ufupi wimbo huo unaelezea kisa cha mke kulala na doctor ili amtibu mume wake bure, maana mume wake alipata ajali na mkewe akawa hana pesa ikabidi afanye mapenzi na doctor ili amsaidie na yule...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu, heshima kwenu, kuna jambo huwa najaribu kufikiria, ni kweli huyu binti ni mwaminifu au anajishebedua tu kwangu, yaani mwanaume yoyote yule akimtongoza na kumuomba namba, siku hiyo atakuja...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Baba mmoja amtoroka mkewe na kwenda kuishi pasipojulikana zaidi ya miaka kumi kwa kile kinachosemekana ugumu wa maisha,mkewe akadhani kuwa mumewe amekwisha kufa kwa sababu kipindi anaondoka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapachini nitaeleza baadhi ya vijimambo vyawanawake vinavyodhibitisha udhaifu wao wakutokuwa wakweli: (1) Tangu kukua kwangu nimewahi kutembeana mwanaume mmoja tu maishani mwangu tena alinibaka...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Jamani Tangazo La tigo linalorushwa ITV Mwanaume anatoka tuu kazi Mwanamke anauliza.."Umekumbuka kuja na zile Pesa" Huyu mwanamke Hajampokea, Hajampa pole, Hajala swali ni PESA. Chaajabu Mwanaume...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimeona kwenye duka la vifaa kuna vimashine mashine na ni kwa ajili ya wanawake tu, vina maumbo ya kijitu kizima kimaumbo ya kiume, hivi ni kweli vifaa hivi humuakilisha mwanamme na humfikisha...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Bro Alert: Too Much Booze May Harm Your Sperm The more alcohol young men drink, the lower their sperm count and quality may be, new research suggests. "Many studies have shown that excessive...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeombwa ushauri, na mimi naleta kwenu wanaukumbi, kijana ameoa mke wa kutafutiwa na wazee kabla ya kuoa aliongea na binti wakakubaliana, wakaoana. Miezi miwili tu mdada akatembea na mpenzi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom