Na urembo wake wote anagawa papuchi bure

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,869
2,000
Kuna mdada bwana ni mke wa mtu yule alieniachia mtoto akaenda kugegedwa. Nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma mimi nikajua ametulia bana kumbe bado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.

Nimemuuliza vipi jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elfu kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja. Nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. Nikamuambia haya bwana mjini hapa, mume wake nae ana michepuko yani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.

Sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli?

Tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? Utakuwa una thamani yoyote kweli hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. Bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.
 

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,333
2,000
Wanaume wote ni sawa ila hatufanani ndiyo maana tupo tunaojiheshimu na kuheshimu wanawake wetu.

Hata kama unapiga nje lakini mke wako lazima apate heshima yake na kumtunza kama kawa.

Ila huyo bi mdada naona anapenda kuchezea dushe ndiyo maana haishi kutafuta faraja ya hapa na pale.
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,869
2,000
Wanaume wote ni sawa ila hatufanani ndiyo maana tupo tunaojiheshimu na kuheshimu wanawake wetu.

Hata kama unapiga nje lakini mke wako lazima apate heshima yake na kumtunza kama kawa.

Ila huyo bi mdada naona anapenda kuchezea dushe ndiyo maana haishi kutafuta faraja ya hapa na pale.
hakuna faraja yoyote kwenye dushe mkuu! mwanaume hana faraja yoyote maisha ni yako mwenyewe ups &downs ni zako mwenyewe usimuamini mtu
 

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
1,970
2,000
kuna mdada bwana ni mke wa mtu yuleee alieniachia mtoto akaenda kugegedwa!
nilimuambia mimi hayo mambo sitaki akaachana na yule jamaa maana baada ya kumdadisi kumbe jamaa alikuwa hampi hata mia pia ni majirani ingeleta noma .
mimi nikajua ametulia bna kumbe baado analiendeleza kapata bwana mwingine sijui wapi eti anadai anataka kumuoa.nimemuuliza vepe jamaa anakulea lea mjini akadai ooh sijawai kumuomba hela na yeye hajanipa sema alinipa elf kumi ya bajaji kurudi nyumbani siku moja.nikamuuliza sasa mahusiano yenu yapoje akadai anampenda jamaa na yeye jamaa anampenda sana. nikamuambia aya bwana mjini hapa .
mume wake nae ana michepuko yaani katika ndoa yao ipo kwenye usajili ila wanachokifanya wanajua wenyewe.

sasa tujiulize wanawake wenzangu umeolewa una watoto tena wadogo kabisa sawa mume kawa hasomeki ,na wewe na uzuri wako unaanza kukutembeza bila malipo eti ni upendo .kuna mwanaume atakupenda mke wa mtu kweli? tena anakugegeda hotelini huko umeacha vichanga nyumbani unakunywa pombe unavuta hadi sigara? utakuwa una thamani yoyote kweli .
hata kama mume ni mbaya usijitese na dunia maana utamaliza wanaume wote ni walewale yaani wanaume wote wanafanana mwanzo mwisho. bora ukae benchi kama kina sisi maana ni kujitesa tu.
Nilichokielewa hapa kuna wanawake wawili, mmoja anapenda kugegedwa iwe kwa pesa ama bure yeye shida yake ni mtalimbo tu, huyu wa pili yeye kugegedwa ni pesa na hasa akiwa mzuri na pesa lazima iwe kubwa. Nani ibilisi na nani shetani?
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,869
2,000
Nilichokielewa hapa kuna wanawake wawili, mmoja anapenda kugegedwa iwe kwa pesa ama bure yeye shida yake ni mtalimbo tu, huyu wa pili yeye kugegedwa ni pesa na hasa akiwa mzuri na pesa lazima iwe kubwa. Nani ibilisi na nani shetani?
hakuna anejali umeelewa nini mkuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom