Nahitaji Mwanamke asiyezaa au asiyetaka kuzaa

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nahitaji mwanamke mwenye matatizo ya kizazi yaani ambaye hawezi kupata mtoto au amabye ana kizazi ila hatarajii wala hataki kupata mtoto niweze kuwa naye kwenye mahusiano ya mapenzi na baadae tuje kuishi mume na mke.

Sichagui kiwango cha elimu wala umri wala aina ya kazi. Ila kikubwa awe mtu wa kujituma na asiyetegemea kila kitu kutoka kwa mwanaume.

Nipo serious juu ya hili. Kama upo tayari karibu PM
 
Kama kichwa cha habari kilivyo.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28. Natafuta mwanamke ambaye anamatatizo ya uzazi yaani ambaye hana uwezo wa kupata mtoto niweze kuwa na mahusiano naye ya kimapenzi alafu baadae tuje kuishi mume na mke.

Awe tayari kuishi kwenye mazingira yoyote na awe mchapa kazi.

Kuhusu kabila sichagui
Rangi sichagui
Elimu sichagui
Kipato sichagui.

Kikubwa nitakachohitaji kwake ni mapenzi ya kweli na ya wazi.

Namuahidi kuwa nitamjari
Nitamheshim na kumthamini na hatojuta kuwa na mm

Kama upo tayar karibu pm
 
Kwann?hakuna mwanamke yoyote yule atakayependezewa na neno "mwanamke asiyezaa"labda ubadilishe hapo...
 
Yaani unakimbia majukumu ya kulea au kitu gani? Hebu weka bayana yaliyokusibu ili tukusaidie.
 
Msimuhuku Mku Nawakat Yeye amechagua mwenyewe

Wangap wanawake hawana kizaz wanateseka tuu

Hujui dhumun lake

Ila atakae Mfuata ndiye atakae mwambia dhumun lake
 
Mimi nina mwanamke wa nanma hiyo,ila ni mchepuko wangu aisee ninateleza naye balaa hamna haja ya kutumia rambo yaani mwendo ni full kutembelea rim a.k.a kuuza mechi alafu wanawake wa namna hiyo ni watamu balaa
 
Kama na wewe labda una tatizo hilo pia, nakuombea Mola akutendee miujiza na upate watoto na yoyote utakayejumuika naye.
 
Mimi nina mwanamke wa nanma hiyo,ila ni mchepuko wangu aisee ninateleza naye balaa hamna haja ya kutumia rambo yaani mwendo ni full kutembelea rim a.k.a kuuza mechi alafu wanawake wa namna hiyo ni watamu balaa
Sasa hapo tatizo mwanamke au wewe?? Mkulima unamwaga mbolea kwenye shamba halafu unasema mimea haioti?? Wewe sio mkulima mzuri kajifunze tena.;):p
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom