Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Bila ajizi, ni ukweli kuwa;....
Wamekwisha zoea (wale pale) kusema sema ya watu
Yakwao hawayaoni kazi kusema ya watuu....
Basi leo nawaambia, maneno yao sikitu, watabaki hivyohivyo ya kwangu yaninyookea.
Wacha wacha waseme, watasema mchana eeh usiku watalala
Wacha wacha waseme, eeh wacha wacha waseme...
Watasema mchana eeh, usiku wanalala
Mie na starehe zangu ndani, haloooow... mambo yangu burudanii
Masikio nimeziba sijali ya mitaani, Katu nimejidhibiti siwasikilizi asilani
Kajaribuni pengine, hapa mtaachiwa manyoya tuu
(Ndani ya msokoto)
Kinyau nyau kikia cha pweza, wataka mambo hawatayaweza
Vitu, vitu vitu, vitu vile vyenyewe vile vitu hivyo vitu, vitu, vituu... (ndani ya msokoto)
Heeheeiyaah kooolooombaah looongaaaaah hehehehehehehehee
Baba chanja baba chanja, mie njaa yaniuma
Nna hamu nna hamu, ukinipa chukuchuku na saladi ya matango nalaaaah....
Wabeja koloombaah!!
Kama vipi malizia na singeli umezee mate maana hakuna namna.