BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR
.WAZAZI WAWACHUNGUZA WATOTO WAO KWA NGUVU
Dk Marijani Msafiri amesema asilimia 80 ya watoto wa kike wanaoletwa kituoni hapo na wazazi wao , wanafikishwa kuchunguzwa masuala ya ubikira.
Kituo hiki Mkono kwa Mkono malengo yake ni kutoa huduma za dharura kwa wanawake wanaokabiliwa na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo kubakwa.....sasa wazazi wanawaleta watoto wao hapa baada ya kuwatilia shaka kwamba wanamahusiano ya kimapenzi na wanaume kwa ajili ya kuchunguzwa kujua ubikira wao, alisema.
Chanzo: BIKIRA IMEKUWA NONGWA HUKO ZANZIBAR
HAHAHA ...KINAMAMA WA ZENJI HATARI SANA