juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Usiku wa leo sidhani kama nitalala vizuri kwa kweli maana nimeumbuka si kidogo mtoto wa kiume.
Nina rafiki yangu ambaye ana mpenzi wake ambaye najuana nae pia. Kuna habari moja hivi ambayo jamaa alinipa na inamuhusu yeye na mwanamke wake. Mimi kwa bahati mbaya story zilinoga na huyo mwanamke si nikaropoka ile habari? Demu alienda kuyapeleka kwa bwana ake mazima mazima na ushahidi juu.
Yaani jamaa kakasirika vibaya sana maana anashangaa inakuwaje habari alizoongea na mimi nampelekea demu wake? Wanawake hawana siri jamani. Kama kuna lolote mi sitasema tena nimekoma.
NB: Usiingilie mapenzi ya watu kamwe, utaumbuka.