Worldboss
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,933
- 3,777
Habari zenu,
Baba yangu mkubwa anawatoto sita wanne wameajiriwa wanafanya kazi zao serekalini,shida inakuja pale ambapo huyu mzee kuwatukana watoto wake hawa matusi yanguoni mbele ya mama yao mzazi matusi mazito.
Kwakweli watoto hawawamejaribu kila njia kumfurahisha baba yao lakini mzee hayupo nao yeye ugomvi kila siku na mapenzi yake yote nikwa mwanae mmoja tu wakike hata afanyekosa gani yeye kwake sawa tu.
Je, nisawa mzazi kumtukana mtoto wake? Nahata kama nisawa je nikwakiwango hiki cha ngemse na maku.mako?Ukizingatia watoto wake wengine wameoa na wanawake na watoto.
Ungekuwa wewe engefanyanini? Haya nikwaufupi tu huyu jamaa anamengi aluyofanya ilatujadili hili kwanza.