Ngabu akutana na Michelle uwanja wa ndege

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,174
Reaction score
143,960
Kusema ukweli siku ya leo imeisha vizuri sana.

Huyo mdada, Michelle B, kanichekesha mno leo.

Sijacheka hivi kwa muda mrefu sana kama nilivyocheka leo.

Michelle mwenyewe ni mke wa mtu. Amekuwepo kwenye ndoa miaka 13 sasa lakini amekuwa pamoja na huyo mumewe kwa miaka 18 sasa.

Kwenye ndoa kuna visa! Hahahaaa....daaah.

Nitaendelea....
 
Ulimcheka kwakuwa hukumuelewa au ulimcheka kwa kuwaza kuwa inawezekanaje awe na ndoa ya miaka 13, huku akiwa na mumewe kwa miaka 18?
 
upload_2016-11-2_5-56-43.png
 
Ulimcheka kwakuwa hukumuelewa au ulimcheka kwa kuwaza kuwa inawezekanaje awe na ndoa ya miaka 13, huku akiwa na mumewe kwa miaka 18?
Umesoma lakini hujaelewa.

Rudia tena kusoma na ukishindwa kuelewa sema nikueleweshe.

Sawa?
 
Kasema mengi.

Sijayataja yote na ndo maana nimesema/ nimeandika kuwa nitaendelea.

Umeelewa?
Sawa sawa nimeelewa, nilikuwa sijaona ulipoandika kuwa utaendelea

Hatahivyo, tuna shauku ya kujua inavyoendelea.
 
Jitahidi kuwa unasoma na kuelewa.

Zaidi ya hapo, stay tuned.
 
Back
Top Bottom