Habari za mchana huu wakuu,
Katika maisha ya mahusiano kumekuwa na tabia ya watu kuachana bila kuambizana ukweli, mfano anayeacha atakaa kimya tu mpaka mwenzie anachoka, kusingizia umbali au kazi.
Baada ya muda watu hawa hukutana na kuliendeleza au kukumbushia penzi lao hali ya kuwa wako katika mahusiano mengine pengine ndoa kabisa.
Kwa mtazamo wangu hili suala linachangia sana uwepo wa michepuko hivyo ni vema tukabadilika kwa kuambizana ukweli pale tunapoachana. Na kama una mwenza wa hivi jua mda wowote utasalitiwa.
Nakaribisha maoni yenu au uzoefu wenu katika hili.