DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,943
No thread
We ni jinsia gani..
Vp hali yako kiuchum imeshuka au coz hawa viumbe wallet yako ikiwa vbaya pia hisia zao huyeyuka
Yes mpe muda.. sio kwamba mnaachana hapana. Just space to breath
mpe hela uone
Mwambie. Afadhali umenambia maana pia nilikukinai ile nikikuona nahisi kinyaa nikaona nikikuambia utanichukia.
mmh basi huyo anamonoposeNmefanya hvo tayari, haikubadili chochote
Miss chaga nikija kukuona cku moja!!! Yaani lazima nikupe helaaa!!!!!Sema tu unanringia sanampe hela uone
Kuna njemba pembeni inambadili kimawazo fanya utafiti wa kina...Ila jiandae kwa lolote kama Clinton.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mmh basi huyo anamonopose
kuringa sunaa jamani loh ... nipe basiMiss chaga nikija kukuona cku moja!!! Yaani lazima nikupe helaaa!!!!!Sema tu unanringia sana