Natafuta mchumba wa kike, Mimi wa kiume

kadinali JM

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
379
304
Vipi wakuu, shwarii? Mimi natafuta msichana, ambaye baada ya miezi kadhaa atakuja kuwa waifu wangu kipenzi na Mimi niwe husband wake, nahitaji mwenye umri kati ya 22 na 26, Mimi Nina 30, awe mkristo, awe na elimu kati ya form four na six awe anapenda kujishughulisha na biashara/ujasiriamali awe mweupe kiasi lakini sio kwa mkorogo, asiwe na ameshazaa asiwe Bonge asiwe mfupi awe mrefu kiasi, Mimi Niko arusha, nikimpata anaeishi hapa arusha itakuwa vizuri zaidi, kwa aliyetayari namba hii hapa,0766738892, Niko sirias jamani sitanii, msinitusi jamani Mimi mtumishi Ila nahitaji ushauri zaidi
 
Ungesema wewe ni mwanaume kwa sababu siku hizi wa kiume hawaaminiwi wanaaminiwa wanaume
 
tehe tehe tehe tehe kweli uko serious
maana umesisitiza wewe ni wa kiume
 
sawa subiri waje, ila mnaotafutaga wachumba mnakuwa na mahitaji mengi kama hao watu mmewaumba ninyi, all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom