Nifanyeje asiniache kwani bado nampenda?

George Barran

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
654
Reaction score
1,302
Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni
Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia,

Kuna binti nipo nae yapata miezi 10 sas tangu nipo nae kwenye mahusiano yetu yakimahaba uyu binti ni mwanafunzi na SAS anatarajia kuhitimu kidato cha NNE

Ulipofika mwezi was nane mwishoni binti aliniambia naomba nisiwe karibu na wew kwa SAS niache nijiandae na mtihani ingawa hakunieleza kwa upole na bila mpangilio unapomuhitaji anakwambia sina muda wa kuja kwako, anakuahid lakini hatokei nikajiongeza nikajua anahitaji kusoma na kuwa karibu na mungu kwa maandalizi ya mtihani wake nikavumlia ingawa ilifikia had I hatua tuwaka tunapishana kiswahili kwani ilikuwa ngumu kwangu kuvumilia kwani nilikua sina demu mwingine kimapenzi

Ikafika mwezi wa 9 binti akawa hanitafuti kabisa hadi nmtafute usipo mtafuta na yeye Hana habari anadai anachoka so Mimi ndio napaswa kumtafuta nilivumilia haikupita siku NNE lazima nimpigie nimjulie hali ingawa alikuwa haitaji maongezi mengi Kama hapo mwanzo mkiongea Kama dakika 5 akakwambia OK badae nahtaj kupumzika kwa kifupi alipunguzuka kabisa mawasiliano na Mimi sikukata tamaa nilijipa moyo nikiamini tote hayo sababu anajiandaa na mitihani

Ulipofika mwezi wa kumi binti alienda kukaa kwa rafiki ambapo palikuwa na ukaribu wa kwenda shule aliniambia kwa SAS sipo nyumbani nipo kwa rafiki yangu kwa SAS nashinda shule tukifanya group discussion na wenzangu nikamwambia OK vizuri soma kwa bidii nikaendelea kumtia moyo na kuzidisha upendo hadi nilijihisi Kama nimekuwa msumbufu kwake

Kwa kipindi hicho niliwaza nitafute dem mwingine nalize shida zangu kipindi namsubili yeye mpaka atakapomaliza mitihani take lakini nilishindwa nampenda Sana niliogopa kumsaliti niliendelea kuvumilia

Binti alivyoenda kwa rafiki kwa ajiri ya kuwa karibu na shule na wanafunzi wenzie alienda na smartphone nikawa namuona WhatsApp anachat hadi ucku tukawa tunachat SMS mbili tatu namuacha nazima data kesho ukimcheki unakuta last seen 04:30pm ilikuwa inaumiza Sana

Kipindi hicho chote hakunitafuta Mimi ndio nimtafute ilinitia Shaka Sana nilihisi ananiacha kimtindo alafu bado namuhitaji

Ukafika wakati wa mtihani nikamu wish all the best na maneno na kumtia moyo lakini halishindwa tata kusema ahsante niliumia nikajipa moyo nikapotezea

Kipindi chote alipoanza mitihani sijamtafuta nilim SMS juzi hajajibu SMS yangu wakuu napata Shaka Sana nahisi naachwa kweupe sijui Kama atanitafuta,

Mini nifanye bado nampenda Sana huyu binti sipo tayali kumuacha aende
 
Mwache mwanafunzi asome.

Kuna kifurushi cha Miaka 30 ukimtia Mimba. Ohooo! Mpe chance ananilii na wanafunzi wenzake.

Kwanza wewe unaonekana unataka papuchi tu.
 
Ufkisikia kuachwa ndo huko, just move on mkuu
 
mkuu hiyo ni namba unaisoma, jiongeze
 
Tafuta mtoto wa kimanga mweupeee, oa achana na huyo anakudharau na hakutakiiii.
 
Daaah nimesikitika sana wewe kudate na mtoto. Hivi unajua kuwa huyo binti ni mtoto? Pili sheria inamlinda mtoto? Tatu, binti anakuona bwege!
Nakushaur best yangu, achana nae huyo mtoto tafuta msichana wa size yako.
 
Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni
Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia,

Kuna binti nipo nae yapata miezi 10 sas tangu nipo nae kwenye mahusiano yetu yakimahaba uyu binti ni mwanafunzi na SAS anatarajia kuhitimu kidato cha NNE

Ulipofika mwezi was nane mwishoni binti aliniambia naomba nisiwe karibu na wew kwa SAS niache nijiandae na mtihani ingawa hakunieleza kwa upole na bila mpangilio unapomuhitaji anakwambia sina muda wa kuja kwako, anakuahid lakini hatokei nikajiongeza nikajua anahitaji kusoma na kuwa karibu na mungu kwa maandalizi ya mtihani wake nikavumlia ingawa ilifikia had I hatua tuwaka tunapishana kiswahili kwani ilikuwa ngumu kwangu kuvumilia kwani nilikua sina demu mwingine kimapenzi

Ikafika mwezi wa 9 binti akawa hanitafuti kabisa hadi nmtafute usipo mtafuta na yeye Hana habari anadai anachoka so Mimi ndio napaswa kumtafuta nilivumilia haikupita siku NNE lazima nimpigie nimjulie hali ingawa alikuwa haitaji maongezi mengi Kama hapo mwanzo mkiongea Kama dakika 5 akakwambia OK badae nahtaj kupumzika kwa kifupi alipunguzuka kabisa mawasiliano na Mimi sikukata tamaa nilijipa moyo nikiamini tote hayo sababu anajiandaa na mitihani

Ulipofika mwezi wa kumi binti alienda kukaa kwa rafiki ambapo palikuwa na ukaribu wa kwenda shule aliniambia kwa SAS sipo nyumbani nipo kwa rafiki yangu kwa SAS nashinda shule tukifanya group discussion na wenzangu nikamwambia OK vizuri soma kwa bidii nikaendelea kumtia moyo na kuzidisha upendo hadi nilijihisi Kama nimekuwa msumbufu kwake

Kwa kipindi hicho niliwaza nitafute dem mwingine nalize shida zangu kipindi namsubili yeye mpaka atakapomaliza mitihani take lakini nilishindwa nampenda Sana niliogopa kumsaliti niliendelea kuvumilia

Binti alivyoenda kwa rafiki kwa ajiri ya kuwa karibu na shule na wanafunzi wenzie alienda na smartphone nikawa namuona WhatsApp anachat hadi ucku tukawa tunachat SMS mbili tatu namuacha nazima data kesho ukimcheki unakuta last seen 04:30pm ilikuwa inaumiza Sana

Kipindi hicho chote hakunitafuta Mimi ndio nimtafute ilinitia Shaka Sana nilihisi ananiacha kimtindo alafu bado namuhitaji

Ukafika wakati wa mtihani nikamu wish all the best na maneno na kumtia moyo lakini halishindwa tata kusema ahsante niliumia nikajipa moyo nikapotezea

Kipindi chote alipoanza mitihani sijamtafuta nilim SMS juzi hajajibu SMS yangu wakuu napata Shaka Sana nahisi naachwa kweupe sijui Kama atanitafuta,

Mini nifanye bado nampenda Sana huyu binti sipo tayali kumuacha aende

Nimeshasema mara nyingi hapa. Haya ni mambo yako binafsi. Hayatuhusu
 
ila jamani hao mnaosema ni watoto ni watamu kusema ukweli
 
Napata mashaka na uanaume wako nyambafu haiwezekani ukaja kukililia kitoto humu.
Niny ndo mtafanya baada ya miaka kadhaa wanaume tuanze kuundiwa haki za kutulinda.
 
Kumbe bint wa Cha 4 nae umeshindwa kumtimizia mahitaji Yaani Hela basi jikate tu uume,,Uhamie upande wa pili,,,Et umejiajiri Fala kabisa et unampenda mwanafunzi
 
tzwanga selfieee ekotite ekotite ekotite ekotite
 
Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni
Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia,

Kuna binti nipo nae yapata miezi 10 sas tangu nipo nae kwenye mahusiano yetu yakimahaba uyu binti ni mwanafunzi na SAS anatarajia kuhitimu kidato cha NNE

Ulipofika mwezi was nane mwishoni binti aliniambia naomba nisiwe karibu na wew kwa SAS niache nijiandae na mtihani ingawa hakunieleza kwa upole na bila mpangilio unapomuhitaji anakwambia sina muda wa kuja kwako, anakuahid lakini hatokei nikajiongeza nikajua anahitaji kusoma na kuwa karibu na mungu kwa maandalizi ya mtihani wake nikavumlia ingawa ilifikia had I hatua tuwaka tunapishana kiswahili kwani ilikuwa ngumu kwangu kuvumilia kwani nilikua sina demu mwingine kimapenzi

Ikafika mwezi wa 9 binti akawa hanitafuti kabisa hadi nmtafute usipo mtafuta na yeye Hana habari anadai anachoka so Mimi ndio napaswa kumtafuta nilivumilia haikupita siku NNE lazima nimpigie nimjulie hali ingawa alikuwa haitaji maongezi mengi Kama hapo mwanzo mkiongea Kama dakika 5 akakwambia OK badae nahtaj kupumzika kwa kifupi alipunguzuka kabisa mawasiliano na Mimi sikukata tamaa nilijipa moyo nikiamini tote hayo sababu anajiandaa na mitihani

Ulipofika mwezi wa kumi binti alienda kukaa kwa rafiki ambapo palikuwa na ukaribu wa kwenda shule aliniambia kwa SAS sipo nyumbani nipo kwa rafiki yangu kwa SAS nashinda shule tukifanya group discussion na wenzangu nikamwambia OK vizuri soma kwa bidii nikaendelea kumtia moyo na kuzidisha upendo hadi nilijihisi Kama nimekuwa msumbufu kwake

Kwa kipindi hicho niliwaza nitafute dem mwingine nalize shida zangu kipindi namsubili yeye mpaka atakapomaliza mitihani take lakini nilishindwa nampenda Sana niliogopa kumsaliti niliendelea kuvumilia

Binti alivyoenda kwa rafiki kwa ajiri ya kuwa karibu na shule na wanafunzi wenzie alienda na smartphone nikawa namuona WhatsApp anachat hadi ucku tukawa tunachat SMS mbili tatu namuacha nazima data kesho ukimcheki unakuta last seen 04:30pm ilikuwa inaumiza Sana

Kipindi hicho chote hakunitafuta Mimi ndio nimtafute ilinitia Shaka Sana nilihisi ananiacha kimtindo alafu bado namuhitaji

Ukafika wakati wa mtihani nikamu wish all the best na maneno na kumtia moyo lakini halishindwa tata kusema ahsante niliumia nikajipa moyo nikapotezea

Kipindi chote alipoanza mitihani sijamtafuta nilim SMS juzi hajajibu SMS yangu wakuu napata Shaka Sana nahisi naachwa kweupe sijui Kama atanitafuta,

Mini nifanye bado nampenda Sana huyu binti sipo tayali kumuacha aende

Inauma lakini huwezi kumpenda mtu asiyekupenda, msahau na hamisha mapenzi kwako mwenyewe, jipende wewe mwenyewe na utampata mtu atakae kupenda.
 
Mkuu siku zote ku date na vianafunzi ni matatizo tu aiseee.

Ukiona manyoya jua ushaliwa hapo, tafuta watu waliotulia akili kidogo.
 
umri wote huo unasumbuliwa na kitoto cha sekondari.............kwanza unakosea sana mwache dogo asome
 
pole! ingawa ulifanya kosa kubwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi,lakini bado ukweli hupo palepale kuwa "mapenzi haya umri"!
Hapa sidhani kama unaweza kupata ufumbuzi wa tatizo lako.Nakushahuri muache amalize mtihani wake vizuri,kisha pata wakati wa kuongea nae ujue nini shida yake,alafu kutokana na maongezi yenu utaamua cha kufanya.

zingatia! akisema hakutaki tena ,usimlazimishe maana mapenzi ni kulidhiana ,achana nae bila shaka hakuwa wako, piga moyo konde tafuta wako.
 
Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni
Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia,

Kuna binti nipo nae yapata miezi 10 sas tangu nipo nae kwenye mahusiano yetu yakimahaba uyu binti ni mwanafunzi na SAS anatarajia kuhitimu kidato cha NNE

Ulipofika mwezi was nane mwishoni binti aliniambia naomba nisiwe karibu na wew kwa SAS niache nijiandae na mtihani ingawa hakunieleza kwa upole na bila mpangilio unapomuhitaji anakwambia sina muda wa kuja kwako, anakuahid lakini hatokei nikajiongeza nikajua anahitaji kusoma na kuwa karibu na mungu kwa maandalizi ya mtihani wake nikavumlia ingawa ilifikia had I hatua tuwaka tunapishana kiswahili kwani ilikuwa ngumu kwangu kuvumilia kwani nilikua sina demu mwingine kimapenzi

Ikafika mwezi wa 9 binti akawa hanitafuti kabisa hadi nmtafute usipo mtafuta na yeye Hana habari anadai anachoka so Mimi ndio napaswa kumtafuta nilivumilia haikupita siku NNE lazima nimpigie nimjulie hali ingawa alikuwa haitaji maongezi mengi Kama hapo mwanzo mkiongea Kama dakika 5 akakwambia OK badae nahtaj kupumzika kwa kifupi alipunguzuka kabisa mawasiliano na Mimi sikukata tamaa nilijipa moyo nikiamini tote hayo sababu anajiandaa na mitihani

Ulipofika mwezi wa kumi binti alienda kukaa kwa rafiki ambapo palikuwa na ukaribu wa kwenda shule aliniambia kwa SAS sipo nyumbani nipo kwa rafiki yangu kwa SAS nashinda shule tukifanya group discussion na wenzangu nikamwambia OK vizuri soma kwa bidii nikaendelea kumtia moyo na kuzidisha upendo hadi nilijihisi Kama nimekuwa msumbufu kwake

Kwa kipindi hicho niliwaza nitafute dem mwingine nalize shida zangu kipindi namsubili yeye mpaka atakapomaliza mitihani take lakini nilishindwa nampenda Sana niliogopa kumsaliti niliendelea kuvumilia

Binti alivyoenda kwa rafiki kwa ajiri ya kuwa karibu na shule na wanafunzi wenzie alienda na smartphone nikawa namuona WhatsApp anachat hadi ucku tukawa tunachat SMS mbili tatu namuacha nazima data kesho ukimcheki unakuta last seen 04:30pm ilikuwa inaumiza Sana

Kipindi hicho chote hakunitafuta Mimi ndio nimtafute ilinitia Shaka Sana nilihisi ananiacha kimtindo alafu bado namuhitaji

Ukafika wakati wa mtihani nikamu wish all the best na maneno na kumtia moyo lakini halishindwa tata kusema ahsante niliumia nikajipa moyo nikapotezea

Kipindi chote alipoanza mitihani sijamtafuta nilim SMS juzi hajajibu SMS yangu wakuu napata Shaka Sana nahisi naachwa kweupe sijui Kama atanitafuta,

Mini nifanye bado nampenda Sana huyu binti sipo tayali kumuacha aende
Acha aende bro. Alaf iko hiv.. kwenye mapenz.. mwenzio akipunguza tu mawasiliano.. ujue kina jambo. ww achana nae.. mwache afanye yake.. kuna siku atakutafuta
 
Back
Top Bottom