Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
Evelyn Salt ni msichana mrembo ambae kafaulu kuiteka akili yangu kwa kiwango cha kuifanya akili yangu isione kasoro kwake,Umbo namba 8,rangi ya ngoz na weupe wa macho Yake ya mduara vinanikosesha sabab za kwann nisimpendelee!?
Ana kitovu kilichobonyea ndan mithili ya kizibo cha Saint Anna,Vishimo vilivyoingia ndan ya mashavu Yake na midomo Yake yenye kuleta mvuto zaidi usoni mwake vinanifanya nikose sabab ya kwann nisimpendelee.
KAMA na wew Kuna mrembo anakunyima usingizi hebu tafadhar mtaje Jina na uorodheshe sabab za kwann usimpendelee.