Ni matumaini yangu kuwa muwazima wa afya.
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu! naomba kuuliza wajuzi wa mambo.
Ni kwanini wanawake wamekua wakipingana na maandiko na kutafuta usawa?
Ni...
Ninapotaka kugegeda yeye hana time, tena ukimgusa ni matatizo. Ukimkera sana anakupa lakini utakukuruka wewe mwenzako hayupo kabisa.
Wakati mwingine unataka mwenzako yuko busy na Tamthiliya...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wa kike mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Awe mweusi mnene wa wastani na urefu uwe wa wastani.
2.Awe mkiristo.
3.Awe mfanyakazi hususani Nurse...
Hello jf,
Hivi mwanamke anayehisi unamchukulia mumewe or mpenzi wake ilihali huyo mumewe/mpenzi wake alikutongoza na alipokutongoza ulimfikishia taarifa kabisaaa but still anakua anakuhisihisi...
Nilikua nafuatilia baadhi ya uzi humu JF, nikaona wavulana wa mikoani wanawaponda sana wavulana wa Dar, kuwa chakula chao kikuu ni chipsy ndiyo maana wanakua sio wakali kwa bed yaani wadhaifu...
Ni mara nyingi sana utasikia vijana wanalia na kuteseka kwaajiri ya mapenzi kisa kikubwa kikiwa ni usaliti katika mapenzi imekuwa aina fulani hivi ya maisha ya kisasa mbaya zaidi mtu anaweza...
Mambo Marafiki!
Naamini katika hili mwenzenu kuwa mapenzi ni ubinafsi na ubinafsi unaplay role kubwa sana katika mapenzi, na ukishindwa kuwa mbinafsi michepuko inakuhusu. Kupenda kunahitaji moyo...
Hivi tukianzisha kikundi cha upatanisho kwa walio farakana kwa mausiano jkuwakutanisha na kuwapatanisha na watu wakajikuta wanaendelea bila kinyongo je tunaweza kufanikisha lengo ili na tukajikuta...
UCHAWI WA KURITHI 1:
Huruma alikuwa ni binti aliyeishi na wazazi wake, katika maisha yake ya huku na kule akaanzisha mahusiano na kijana Kisu.
Wakawa katika mahusiano, mwisho wa siku Huruma...
Namaanisha mnapata shangwe na kuthamini? Mi sijawahi pewa ila naona ni kitu ambacho hakiwezi kabisa kunisisimua. Nataka kufanya uamuzi, niaze kubeba maua au ni stick kwenye kununua nyama choma na...
When you get a little hurt in your relationship, friends will tell you, let go.
Okay. Some will tell you to try and fix things or, try to make it up. But, you will see all sorts of prideful posts...
Wanawake wengine wanajua kuolewa ni kama kufungua akaunti mpya ya mshahara bila kazi. Akitaka kwenda saluni, zinatoka kwako. Mama ake
akiumwa zinatoka kwako. Bibi yake akihitaji kopo jipya la...
Wasamaria wenzangu,nawasalimu..
Wakuu ni hivi, hapa nilipopanga naishi na mama house na bintiye. mtoto yupo sawa ila Mungu hakupi vyote,Nasikitika kusema mtoto hana CHURA,yani dogo Ni...
- Promise 1: Whenever you have any problem, I will always be there for you and would never leave you
alone.
- Promise 2 : No matter what, I will always care and keep you happy.
- Promise 3 : I...
Kuna njia tofauti tofauti ambazo unaweza kutumia kumshawishi mwanamke yeyote kuingia katika box lako. Hapa nimekurahishia kazi kwa kukuandalia maswali ishirini ambayo ukimuuliza mwanamke yeyote...
NAIRUDIA HII KWAAJILI YAKO WEWE!
Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,
Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa...
Mie ni mwanaume mwenye miaka 30, nahitaji mwanamke wakuzaa nae, awe mwenye umbo saizi ya kati, anaejielewa, mweupe wa asili, mrefu kiasi, aliye tayari kuzaa, umri miaka 25 hadi 30. Aliye serious...
Wakuu,
Katika pitapita yangu jana baada ya kupiga safari lager za kutosha si nikakutana na mrembo, maskini ya Mungu bila kujua kitu mwanaume nikampeleka hadi nyumbani tukavunja amri ya sita...
Kwa anayehitaji vitabu vya Joram Kiango, Dar es salaam usiku, Kiguu na njia na zawadi ya ushindi, karibuni kwa namba 0763044459 au 0712504985.
SURA YA KWANZA
Mwanzo wa Kisa na Mkasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.