Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu jamani, Natafuta mke wa kuoa awe angalau na sifa zifuatazo; 1. Awe na nia ya dhati ya kuwa married na sio tu kwa sababu shost zake wameolewa. 2. Umri kuanzia miaka 20 hadi 27 tu. 3...
2 Reactions
0 Replies
807 Views
USIKUBALI KUBEBA MIZIGO AMBAYO INAKURUDISHA NYUMA KWENYE SAFARI YAKO YA MAFANIKIO Pamoja na ugumu wa maisha ambao wengi wanakuwa wanausema, lakini sehemu kubwa ya ugumu huu inasababishwa na mtu...
12 Reactions
7 Replies
3K Views
Za jumapili wapendwa? Samahani,mnaweza kunipa faida na hasara za kurudiana na x boy/girlfriend.halafu mtu mwenyewe ni yule ambae mnakua mmeachana kwa ubaya,yani labda amekuacha kwa kashfa kibao na...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume; 1. Wananguo nyingi kuliko wanaume. 2. Wanafahamu nani ni baba halisi wa watoto wao. 3. Ni wepesi kupenda na wakipenda hupenda kweli. 4. Wanaoga...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Wasalaam wanajukwaa mimi ni mgeni humu Jf. Naomeni ushauri mke wangu alisafir kikaz akamuacha beki tatu nyumbani. Siku moja nikampa taulo langu anisaidie kulifua mimi niko bze na mambo ya kikaz...
0 Reactions
97 Replies
9K Views
Hichi kinachoitwa urembo/lujiremba kwa tafsiri nyepesi ni uongo au udanganyifu. Hakuna kitu kinachoweza kuwa kizuri kwa kukifanyia ukarabati nje ya chenyewe. Kitendo cha mtu kupeleka nguo yake...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
Hello jf, Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi, Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la...
12 Reactions
160 Replies
13K Views
Taasisi ya Utafiti ya NIMR imesema kuwa Wanawake wa nchini Tanzania wanaongoza kwa utoaji wa mimba na kwamba wanaogopa huko siku za usoni Tanzania ikawa na upungufu wa idadi ya Watu kutokana na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo niaje members, Naomba kujua jamani, ipi ina faida nyingi kati ya kujua HIV status yako yaani kupima na kutokujua yaan kutokupima. Naombeni views zenu, Ahsanteni
3 Reactions
55 Replies
6K Views
√Mume Nguo zake zinafuliwa kwa SABUNI za kuogea. √Maji ya kuoga Mume ni ya chupa √Glass ya divai ya baba ni ya kibuyu yaani hii nyumba full vibweka. Ukiingia ndani ni maua ridi toka sebuleni hadi...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi...
36 Reactions
357 Replies
40K Views
Kwanini wamama wengi huwa wanasema mwanaume ni kama mtoto ina maana wanaume waana akili za kitoto au? Au wanafanya matendo kama watoto?
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Hii ni maalum kwa wanawake tu! Wanaume ni wachafu sana hawafui nguo zao za ndani huzirudia mara kwa mara na hii huwa sababu maradhi kama ya fungus kuwasumbua mara kwa mara. Kazi ya kufua ni...
8 Reactions
90 Replies
10K Views
naombeni maoni yenu hivi ni kweli mwnamke pekee ndo mwenye kiu ya ndoa??kuliko mwanaume?
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Wakuu,kuna kitu kimenishangaza kidogo hapa.kuna jamaa angu kaniomba nimsindikize kwa sijui ndo nimuite hawara yake au mpenzi wake.hawa watu walikua wana kaugomvi kidogo,sasa jamaa ili kuweka mambo...
0 Reactions
29 Replies
14K Views
Hii data sio nzuri. Wanaume kuweni makini wakati wa kuchagua wenza. Unaweza ukapigwa tukio la ajabu ukajiuliza maswali meengi kumbe mwenzio hamnazo.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wadau, Hivi mapenzi ni nini? Mbona kila kukicha yanaibuka mapya na kila mmoja anaelezea kivyake? Sasa na wewe nielezee ujuavyo. Ahsante.
0 Reactions
14 Replies
52K Views
Natumaini mpo salama,weekend najua imekwenda vizuri na tayari kwa kesho kuelekea katika mihangaiko ya kila siku. Katika utafiti wangu mdogo wa hapa jf nimegundua asilimia kubwa na wanaume au...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za leo wana mmu, Naomba nianze kwa kusema mimi siamini katika ukabila kabisa kwa sababu naamini katika kila kabila kuna wema na wabaya. Lakini kwa nini kila mara nadhulumiwa hela zangu na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia...
7 Reactions
110 Replies
5K Views
Back
Top Bottom