Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,204
Wasamaria wenzangu,nawasalimu..
Wakuu ni hivi, hapa nilipopanga naishi na mama house na bintiye. mtoto yupo sawa ila Mungu hakupi vyote,Nasikitika kusema mtoto hana CHURA,yani dogo Ni flatiScreen..
Sasa shida Ni hivi, yule dogo bda ya mda flani akawa anahitaji tuwe couple,na Mie na flati Ni vitu viwili tofauti, Ngoja niwape kisa sasa..
Kimasihara nikaanza kujiongeza kodi yangu,binti anakuja getho,anapika na kufua.Maza ake Ni mama wa kazi Sana,wikend ndio anakuwa home..
Sijui mchawai gani tu akampa scene nzima yule mdashi,mdashi akaja juu kwa binti ake, binti akamjbu maza ake dry kisa kapagawa na penzi la mpangaji..
Ndani kukawa tafrani, Msukuma sina cha kujitetea,mama hatimae akapiga simu police, roho wa bwana akanipa nguvu,nikapiga maombi pale,na hatimae nikaludi ndani kulala,roho saaafiii..
Baada kama ya dak10 wakaja askali na defender pale home,wakanichukua kwenye gali yao na sasa sijui wananipeleka wapi Tu,nikipata kamwanya ka kupiga selfie tapiga ili niwape kapicha..NISHAURINI NIFANYEJE
11/11 Ts my birthdai..Nawasalimu