The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 813
Ni matumaini yangu kuwa muwazima wa afya.
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu! naomba kuuliza wajuzi wa mambo.
Ni kwanini wanawake wamekua wakipingana na maandiko na kutafuta usawa?
Ni kwanini wanawake wamekua watu wa kulalamikia yale waliyopaswa kufanya?
Ni kwanini wanawake hawataki kusimama katika nafasi zao?
Mwanzo 3:16 (Biblia takatifu inasema)
"Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa UTUNGU utazaa watoto; na tamaa yako itakua mumeo, naye atakutawala"
Katika nukuu iyo utaona kabisa kuwa, wanawake wamekua wakitafuta usawa kwa wote na hili hali maandiko yameeleza kua "naye (MWANAUME) atakutawala" sasa kwanini ninya mwanawake mmekua mkilipinga hili?
Ni wajibu wa mwanamke kubeba mimba na kuzaa... Ila utakuta wanawake wakilalamika MIMI NDIYE NINAYEJUA UCHUNGU WA MTOTO - yaliandikwaa haya😡
"hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa UTUNGU utazaa watoto"
Jamani kina mama/ dada mjue hata sisi tulipewa maagizo kwa josho tutaishi. Mbona hatulalamikii hili na tunafanya kwa moyo wote?
Nawaombeni wanawake msimame kwenye nafasi zetu, simameni kwenye jinsia zetu... Mliumbwa kutamani na matamanio yenu yatakua juu ya MUMEO. sitoshangaa mwanamke akifanya maamuzi yoyote juu ya mume wake... ntashangaa na ninishangaa sana mwanamke anayekaa na kumteta/ kumsema/ kumsengenya mumewe na kuyaanika hadharani mapungufu yake.
"na tamaa yako itakua mumeo,"
My take:
Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri.
Kumbuka:
Hakuna mwanamke mbaya, kuna wanawake wazuri na wanawake wazuri zaidi.
Kwahiyo:
Kila mmoja asimame kwenye nafasi yake na afanye yampasayo.
Says, Jerrymalisa!