bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Hivi tukianzisha kikundi cha upatanisho kwa walio farakana kwa mausiano jkuwakutanisha na kuwapatanisha na watu wakajikuta wanaendelea bila kinyongo je tunaweza kufanikisha lengo ili na tukajikuta tumeokoa nafsi za watu kama mnaona ni lengo zuri naomba tuungane tuone tuandae nini na tutalifaninisha vipi mana tumegundua watu walio wengi huachana na uku wakiwa wanapendana ila hakuna wa kufuata mwenzie ila miebnikizungumza na 1 wapo kisha nikamfata mwingine kwa wakati wake kisha nikawakutanisha bila kujua namkajikuta mnafrahiana naisi tutaokoa walio wengi.[emoji131][emoji132]