Habari za leo wana mmu,
Naomba nianze kwa kusema mimi siamini katika ukabila kabisa kwa sababu naamini katika kila kabila kuna wema na wabaya. Lakini kwa nini kila mara nadhulumiwa hela zangu na...
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia...
Nilikuwa nakata pilipili na kisu mkono wa kushoto nimeshika pilipili,nimemaliza kuandaa hy pilipili sasa mkono unawaka moto balaha yani nashidwa hata kukaa kwa raha naomba njia ya kuutuliza
Wadau kuna jamaa yangu mmoja anaomba ushauri,GF friend wake alipata nafasi ya kwenda kusoma jijini Dar, jiji lenye mataa kila kona.
Cha ajabu baada ya kurudi likizo, mpenzi wake huyo amekuja...
Tabia hii ipo kwa pande zote mbili,wanawake kuhadithiana na hata wanaume pia kufanya hivyo,japokuwa siyo wote.Unakuta kijana yuko kijiweni na washkaji zake kakazana kuwasimulia wenzake,Rose ni...
Nauliza hivi, eti ndoa ya kiserikali ina sharti lolote kama muoaji ana mke mwingine hata kama huyo mke yuko kivyakevyake tu? Maana mi najua serikali haina dini.
Habari wana love connect.
Natafuta mke wa kuoa Niko serious kabisa Ngoja nitaje sifa zangu halafu niainishe za ninayemtaka
Sifa zangu kwa uchache
+Nina miaka 32
+Mrefu ft6 mweusi mwembamba kiasi...
Katika maisha yangu hadi umri nlonao sahivi (miaka 26)nimetembea na wanawake 3 na kila mmoja nlimpenda saana ila sasa kila mwanamke ninaempata anakuwa na mambo mengi balaa yaani hawatulie wote...
Jaman mimi nina mpenz ambae kabla hutujawa wapenzi alikuwa rafiki yangu wa kawaida tena hatukuwa na ukaribu sana. Siku moja alipata shida akaja nimuazime pesa laki tatu nikampa baada ya muda tena...
Mungu ana akili sana alivyotuumba, laiti kama Miili
yetu hii ingekuwa kama Housing za Nokia Kitochi,the more unavyotumia ndo Button zinaumuka kama
Mimba ya Mjusi sijui ingekuwaje Maana kuna watu...
Wadau Weekend iyooooo inaishia nataman kesho pia iwe weekend maana hata sijui ilipitaje, kuna hiyo link hebu click mkajitambulishe na kuweka picha na jina lako halisi
Thread maalum kwa wana "JF"...
wakuu leo mpenzi wangu baada ya kutoka kanisani alinipigia simu na kuniambia yupo njiani anakuja kwangu na zawadi ya kufunga mwaka , nilifurahi nikajuwa labda mke wangu mtalajiwa ataniletea kitu...
Jamani hii tuseme ukweli bila kujitafuna,Watu wa familia moja sasa wamekuwa ni maadui kuliko hata marafiki! Undugu umebaki kwenye misiba,harusi tu...tena unafiki mtupu...
katika kuhangaika na maisha nimejikuta nimevuka maji na kuingia kisiwani unguja nikiwa huku imetokea nimekutana na mtoto wa huku ni mzuri kwa kweli na ana maadili sana kila tukikutana anapenda...
Habari JF.....
Hivi ni kitu gani ambacho hutakaa uje umfanyie mpenzi wako hata kama unampenda vipi...
Kwa mimi sitakaa nije nimpe tigo hata akitishia kuniacha...
I know hawezi omba(ila kwa mfano...
Kwanza habari zenu wadau,,kiukweli mi nahisi saikolojia yangu imevurugika,..Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu sana,sasa mama alikuwa akinipa dozi ya kichapo kama mbwa mwizi,,ilifikia hatua akawa...
Mara nyingi wavulana ni vigumu sana kuzungumzia juu ya vitu wanavyopendelea kufanyiwa na wapenzi wao. Ni baadhi sana ya wavulana ambao huwaweka wazi wapenzi wao juu ya vitu wanavyo vipenda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.