Leo nimekaa nimewaza na kuwazua wewe umeoa au umeolewa lakini michepuko kwako haikatizi ukitoa vijisababu viiingi mradi tu kujustify kwa nini una michepuko.
Hivi unajisikiaje unaporudi nyumbani...
Hallo Wandugu Wana-JF
Naomba nianze kwa kuheshimu Uhuru wa kila Mtu kupenda kile akipendacho.
Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Manukato ya "Issey Miyak"
Ningependa kuuliza, Je kuna aina nyingine...
Nawasalimu wapendwa wote.
Katika jamii tunayoishi wapo watu wengi wapendao kupokea zawadi hata pasipokuwa na jambo la msingi linalohitaji wapewe zawadi hizo.
Nimegundua mara nyingi athari kubwa...
Jamani naomba radhi kwa kurudia topic,ni kwa sababu hii kitu ni sensitive sana,naomba m-share experience zenu cku ya kwanza kutolewa bikra kwa wote men's and women's, haswaaa wanawake ilikuwaje...
Wasalaaaam JF
“Please beb nisamehe tu nimejifunza mengi sintorudia tena beb bado nakupenda kwel, naomba turudiane tuendelee kama zamani”
Hayo hapo juu ni maneno ya ex-girl wangu aliniacha...
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna mwanamke nilimpenda sana ila nadhani haikuwa hivyo kwakwe, siku moja kanipigia simu kama kawaida yangu nikapokea haraka bila kuchelewa akanambia anashida kama ya tsh...
Mtu unalizwa kila siku kwenye mapenzi lakini bado unakomaa utadhani wewe
Anodi Shwazenega. Hivi na hali hii tete siku hizi, si
bora ungetafuta ajira hotelini, ukatolewe machozi
kwa kumenya...
Nikiweka password kwenye simu yangu anahisi nimemuwekea yeye, kuna vitu namficha. Japo ameshapekuwa mara kadhaa bila kukuta kitu kibaya
Nikichelewa kurudi nyumbani anahisi nimepitia kwa...
Wakuu hili swali nimeulizwa na rafiki yangu ambaye ni dereva, anasema
alipata mpenzi katika Mji mdogo wa Mahuta ambao uko katika wilaya ya
Tandahimba, Siku moja usiku wa manane akiwa amelala...
Wana jukwaa Salaam!
Wazungu bwana, baadhi yao ni watu wa ajabu sana.Hawajui kudanganya na hawana uvumilivu mahala unapohitajika.
Kuwa model uitwe 'Lovely sweetheart', kuwa bonge uitwe '' Fat and...
Habari zenu wadau, bila shaka kuuliza si ujinga naombeni mnijuze.
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya ndoto nyevu na mambo ya kijini(JINI MAHABA), Maana nilishawahi kusikia, ukiwa unaota hizo ndoto...
Wapendwa mambo yote lazima yaende kwa kupangiliwa. Ukikurupuka utaiona wiki hiyo kama balaa ile mbaya.
Najua una familia, una marafiki nk, ambao ungependa kufurahi nao kwa kipindi cha funga /...
#Wanaume wanakuwa na akili kuliko kawaida muda wa kuoa.
- Maisha ni Kitu cha ajabu sana, kuna wanawake wanawakataa wanaume kwa sababu leo hawana hela, wanawakataa na kuwanyanyasa wanaume eti...
Am just thinking loudly.
siku mbili zilizopita nilisafiri kwa shughuli za kiofisi. Kama mjuavyo mambo ya serikali yetu hii, unajaza imprest, hela ya safari inachelewa kutoka, au unaweza kulipwa...
Wakuu kwema?
Kuna dada mmoja ni shemeji yangu yaani ni mpenzi wa mshikaji wangu. Wamebahatika kupata mtoto mmoja, japo walipanga wafunge ndoa mwaka huu ila kuna mambo hayakwenda poa wakaona...
Habari wana JF
Habari za asubuhi tulivu ya alhamis,ikiwa zimebaki siku kadhaa tu tumalize mwaka huu kwa kudra za mwenyezi Mungu tutavuka.Pole kwa ndugu zetu,jamaa na Marafiki zetu walioko...
Habari za leo wapendwa,
Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu...