Mnaoumizwa na mapenzi, mnaonaje mkafuata ushauri huu?

Mnaoumizwa na mapenzi, mnaonaje mkafuata ushauri huu?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Mtu unalizwa kila siku kwenye mapenzi lakini bado unakomaa utadhani wewe
Anodi Shwazenega. Hivi na hali hii tete siku hizi, si
bora ungetafuta ajira hotelini, ukatolewe machozi
kwa kumenya vitunguu huku unakusanya
mshahara na kusubiri mafao yako yatoke mwaka
2055?
 
MAPENZI YANA RAHA YAKE, ASIKUAMBIE MTU.
BILA HIVI VITU MM NA WW TUSINGEKUWEPO KWENYE ULIMWENGU HUU

Km tungekuwepo basi tungekuwa kunguni, au mbwa, nyoka au mnyama au mdudu yyte
 
MAPENZI YANA RAHA YAKE, ASIKUAMBIE MTU.
BILA HIVI VITU MM NA WW TUSINGEKUWEPO KWENYE ULIMWENGU HUU

Km tungekuwepo basi tungekuwa kunguni, au mbwa, nyoka au mnyama au mdudu yyte
Mapenzi ya kuumizana ndo yanayopigwa vita, cuz kuumizwa sio lengo
 
Mwaga oil chafu maisha yaendelee. Kupenda ni burudani hata ukifanyiwa vituko unacheka tu.
1480161041198.jpg
 
Sasa hotelini kama sijui kupika nafata nini??
Ni heri nipambane na mapenzi ambayo huwa napataga mambo fulani fulani mazuri
 
  • Thanks
Reactions: 247
Sasa hotelini kama sijui kupika nafata nini??
Ni heri nipambane na mapenzi ambayo huwa napataga mambo fulani fulani mazuri
Utaosha hata masufuria, afu acha uvivu
 
Hivyo ni vitu vya kawaida ktk mapenzi. Japo vinaumiza.
Vitu vya kawaida??
Mtu anakwenda kinyume na makubaliano alafu unahalalisha kwa kuviita vitu vya kawaida?
These******* aint be loyal
 
Aaah! Masufuria hapana asee
Wacha nipambane na mapenzi tu
Hahah, au kama vipi Mapenzi yakituzingua Tunaingia zetu barabarani na Need for speed, tunafukuzana weee
 
Hayajakupata wewe subiri yakufike ndo uje utoe ushauri hapa.
 
Vitu vya kawaida??
Mtu anakwenda kinyume na makubaliano alafu unahalalisha kwa kuviita vitu vya kawaida?
These******* aint be loyal
Ni vitu vya kawaida sbb umekutana ukubwani.
Wote mnatabia tofauti kwa hiyo kuumiza ni vitu vya kawaida. Na unapomtongoza mwanamke hakuna mkataba wwte mtakaoandikishana ndiyo maana utakuta mwanamke ana watu wake wa pembeni na ww unao wa pembeni kwahiyo inabidi ukubali maumivu.

UKITAKA MTU ASIENDE KINYUME NA MAKUBALIANO YENU. UKIMTONGOZA AKAKUBALI INABID MUANDIKIE MKATABA, TENA UFANYIKE NA POLISI WAWEPO KBSA HATA AKIVUNJA UTAMSHITAKI.

YAAN NI KAE NA MTU SINA FUTURE NAYE KILA KUKICHA ANAZID KUNITIBUA. BADO NANG'ANG'ANIA TU KISA TUMEINGIA MAKUBALIANO YA KUOANA. THUBUTU
 
Hahah, au kama vipi Mapenzi yakituzingua Tunaingia zetu barabarani na Need for speed, tunafukuzana weee
Ha ha ha
Hii ndo the best option baada ya kushindwana na mapenzi

Nakimbizana na mapolisi weee mixer kuwaskiliza kina kid ink
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom