Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Daah nashangazwa na hawa wasichana ambao nimewalea walikua Walinunuliwa chupi mpya wanakuja kunionesha sasa hivi hawaniamkii tena baadhi wanatoa mambo! Lakini nikiona wanaogopa sana Mimi huwaita...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Wana jamvi salaam .... Ninauanzisha huu uzi si kwa kusudio la kutukumbusha "machungu, simanzi, maumivu" nk ambayo tuliyapata tokana na neno/maneno "makali" toka kwa wale tuliowapenda sana ...
9 Reactions
652 Replies
63K Views
Naombeni ushauri wenu, Mawazo ya wengi ndio nitakayoyafanyia kazi. Nimefunga ndoa na mwanaume mwenye watoto 4 wawili wakike wawali wa kiume. Mama yao alifariki kwa ajali ya gari aliwaacha wadogo...
11 Reactions
131 Replies
31K Views
Hii imekaaje mkeo kumleta mtu waliosoma nae mwanaume nyumbani kwako alafu unafika nyumbani anakutambulisha huyu nimesoma nae. Kama ni wewe unalipokeaje alafu ni usiku na anmshindikiza wewe upo...
7 Reactions
115 Replies
10K Views
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nilikuwa nina mchumba wangu tuliyekuwa tumewekeana ahadi za kuoana kabla sijarudi masomo chuoni. Tulikubaliana na kuongea na kutambulishana kwa ndugu wangu na wao. Nilirudi shule na kumuacha...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
VITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA. 1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa saa...
7 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi nimeajiliwa kwenye taasisi fulani haha dar kama miezi 4 iliyopita. Sasa ninfanya kazi ofisi moja na mtoto wa boss wangu ambapo ofisi yetu imejitenga na tupo wawili tu yaan mimi na huyo mtoto...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu tusaidiane haka ka mchezo, Mpenzi wangu cku hizi nikimtxt au akini txt yeye mi najibu kwa wakati lakin hii sasa wiki ya tatu inaenda nikimtumia sms yoyote labda ya kumjulia hali au hata...
1 Reactions
104 Replies
14K Views
Ni hivi mimi kipindi nikiwa nasoma nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja ikaja ikafika kipindi nikawa nimesafiri nimetoka nje ya Mkoa mimi nikahamia Arusha na yeye akabaki Morogoro...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbona sioni posti za huyu babu mwenye busara nyingi..yuko wapi wajameni au naye katumbuliwa au hali ngumu?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana MMU, Mnamo miezi miwili iliyopita nilifanikiwa kutekwa na pepo la ngono kupita kiasi kana kwamba nilijitolea kufa ama kupona ili mradi tu niuridhishe mwili wangu , Kwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Ukigombana na mkeo mwache aende kwao, using'ang'ane kutuma watu huko kumrudishaa. Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda kariakoo nunua chupi tano kubwa kubwa colours tofauti...
12 Reactions
10 Replies
3K Views
Inawezekana kukawa kumetokea kutokuelewana baina yenu, mkaachana. Ukiwa nje ya uhusiano wako, ukagundua kwamba chanzo cha matatizo yote ni wewe. Inategemea umemfanyia nini? Labda umemtukana sana...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mama ake mzazi aliemlea miaka yote ile hashiki simu yake...sasa wewe ulieokotwa majuzi tu hapa haki hiyo ulipewa na shirika lipi kwenye umoja wa mataifa? Kupendwa na mtu sio kibali cha kua na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumezoea kusikia matamko kutoka kwa mabinti kama vike kazi ndiyo mume wangu, mume si lazima ninaweza kuzaa nikalea mwenyewe, kuolewa siyo lazima, kuishi single ndo maisha niliyoamua, n.k Mi...
5 Reactions
162 Replies
12K Views
Katika vitu ambacho sitakuja kujaribu ni kushika na kuangalia simu ya mpenzi wangu wala yeye haruhusiwi kishika yangu..Maana spendi matatizo naskia karbia kila siku watu wanalia kuhusu simu za...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Haya ndio mambo ambayo mwanamke anajitolea kwaajili yetu ● Anabadili Jina lake ● Anahama nyumbani kwao ● Anaacha familia yake ● Anajenga nyumba na wewe ● Anabeba ujauzito wako ● Ujauzito wako...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Hii inaitwa "EMOTII" Aisee Ukweli ni kwamba Wamasai hawana asili ya Uchawi wa kutumia ndumba, kumtumia paka, jini au kibwengo, labda waununue huo uchawi wa hivyo. ILA kuna...
4 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari zenu Nilikuaga na mpenzi wangu nampenda sanaa sasa ikafika mahala nikawa nimependa kiasu kwanba bila yeye sifanyi kitu. Sasa ikaifika kipindi nikawa nimeathiriwa kisaikolojia. Nakua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom